Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utangulizi wa kujitambua. Kabla ya mtu kuanza safari ya kujitambua, ni muhimu kuelewa maana yake na kwa nini ni jambo la msingi katika maisha. Kujitambua (Self-Realization) ni mchakato wa kuelewa...
1 Reactions
0 Replies
616 Views
"Maskini wa roho" haimaanishi umasikini wa mali au udhaifu wa kiroho, bali unyenyekevu wa ndani na kutokujawa na kiburi cha nafsi. Ni hali ya kuachilia "ego" na kutambua kuwa wewe ni sehemu ya...
1 Reactions
3 Replies
449 Views
Ili kijana aweze kufanikiwa maishani, kuna mambo kadhaa muhimu anapaswa kuyazingatia. Haya hapa ni baadhi ya mambo ya msingi: 1. Kuwa na malengo maalum Elewa unachokitaka maishani, weka malengo...
1 Reactions
0 Replies
693 Views
Nyota Kurogwa Maisha yameshapangwa Gundu Chumvi ya mawe Aura Laana Code za kiroho We subiria upate pesa kama haya yote utakuwa ukijiuliza uliza. Ila kiukweli maisha ni maisha tu.
2 Reactions
8 Replies
398 Views
Imagine una ndugu kahitimu chuo bado kijana mdogo tu, Ajira kama mnavyozijua hazina guarantee kama huna connections, so inabidi aanze kujitafuta. Unga mnamtumia, mchele mnamtumia, si unajua tena...
2 Reactions
9 Replies
642 Views
TAREHE YA KUZALIWA Tarehe ya kuzaliwa ni ramani ya roho yako — imebeba ujumbe wa kwanini umezaliwa, unaelekea wapi, na nguvu zako ziko wapi. Leo tuangalie tarehe 7 16 na 25 Ikiwa Umezaliwa...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
  • Closed
UFAFANUZI: Nimewasiliana nao, hakukuwa na utapeli wowote. Mwanzisha mada ameomba radhi. Ningependa kuwatahadharisha wanachama wenzangu kuhusu tapeli ninayekumbana naye kupitia mtandao wa Jamii...
4 Reactions
72 Replies
4K Views
Mwanaume Mkristo alikumbatia Uislamu baada ya kugundua kwamba Biblia inasema Yesu atawatamkia watu wake mwenyewe Siku ya Hukumu: ‘Sikuwajua kamwe. Ondokeni kwangu, enyi watenda maovu!’...
1 Reactions
11 Replies
532 Views
Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Na: Crispin K. Mutalemwa 20.05.2025 Ujio wa Rais wa Namibia Dr. Netumbo Nandi-Ndaitwah nchini ni alama nyingine yenye hadhi ya nishani ya juu katika koti la uongozi kwa Rais Mhe. Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Habari za mapambano wakuu, Kuna swali huwa najiuliza sana haswa wiki inapoanza Jumatatu napokuwa naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Taarifa ni kuwa kuna bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology) linaungua kwa moto leo Mei 20, 2025. UPDATES... ( Taarifa ya Mtandao wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max. Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer. Yani ukisema watoke...
3 Reactions
6 Replies
493 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea msaada wa darubini ya kisasa 'endoscope' ya upasuaji wa ubongo na mgongo kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Cure International...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga na kupeleka fedha kwenye halmashauri zote nchini kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya vituo...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Aliyepaona kwenye Biblia yake anaweza kutusomea Ahsanteni sana 😁 Lucas Mwashambwa fungua Biblia utusomee
2 Reactions
12 Replies
737 Views
Udangaji ulipoanza miaka ya nyuma tulijua ni tatizo la malezi majumbani,hali ngumu,lakini sasa imekuwa kama kazi rasmi isiyohalalishwa. Sasa imekuwa hadharani usiku wanazurula mjini wakivizia...
13 Reactions
169 Replies
7K Views
Kile kitu kama cha njano kinachotoka kwenye koo chenye harufu mbaya kinajulikana kama tonsil stones au tonsilloliths kwa Kiingereza, kwa Kiswahili huitwa mawe ya tonsils au uchafu kwenye tonsils...
1 Reactions
2 Replies
429 Views
Back
Top Bottom