Fundi samico nakueleza haya uyatambue.
Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande...
1. Usimdhuru mwanamke kwa njia yoyote ile – hasa kingono.
2. Mwanaume halazimiki kupika vyakula vitamu kila mara, lakini siyo kosa kujifunza.
3. Ni vyema wanaume wawili kutokuwa uchi pamoja –...
Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
Wakuu, kama kichwa kinavyosema, toka mwaka uanze mpaka leo hii June 13 umeona gari la kuzoa taka mara ngapi mtaani kwako?
Kwakweli toka mwaka huu uanze Mtaani kwangu kule Mbezi Beach sijaona gari...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni kwamba katika maisha tunakutana na changamoto ambazo wakati mwingine huwa kubwa kwelikweli, au huwa kubwa kulingana na mhusika atakavyoitafsiri changamoto...
Nakumbuka tukio hili kama vile ni jana. Ilikuwa miaka ya 80s nimeenda Mkoani likizo kumtembelea bibi. Kulikuwa na tabia za kibabe sana hiyo sehemu.
Bahati mbaya mimi nlikuwa mweupe, mnene...
Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na...
Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu...
Salaam Members!
Tumekuwa tukisikia toka kwa wafuasi wake kua Mungu ni mwema sana kwa watu wake hapa duniani.
Lakini Mungu huyu kuna maamuzi aliyafanya ambayo ni mengi na yanatia shaka kwanini...
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 13/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye...
Ukraine imepokea miili 1,212 kutoka Urusi ya wanajeshi wake waliouwawa wakati wa vita vilivyodumu miaka mitatu kati ya majirani hao wawili.
Wanajeshi hao wanadaiwa kuuwawa katika mapigano kwenye...
Huwa sioni sababu ya Sumatra kushughurika na ukaguzi wa vyombo vya usafiri wa nchi kavu, wakati kazi hiyohiyo inafanywa na Polisi wa usalama barabarani/Trafiki. Huku ni kuwaongezea gharama...
Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko...
Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza...
Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi:
- 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the...
Huyu mwamba anastahili kabisa jina lake liendelee kuwa sehemu ya maisha ya Mwanangu ajaye...
Benjamini Netanyahu ni kiongozi ambaye Israel sijui itampata lini tena baada yake...
Hanaga mbambamba...
Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.