Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million...
Mhu 5:6 SUV
[6] Usikiache kinywa chako kuukosesha mwili wako; wala usiseme mbele ya huyo malaika ya kwamba umepitiliwa; kwani Mungu akukasirikie sauti yako, na kuiharibu kazi ya mikono yako...
Dini zinasema kuwa Mungu anaishi mbinguni. Hapo hapo, zinajipiga mtama na kusema kuwa Mungu yuko kila mahali. Nyingine zinasema eti Mungu ametuumba kwa mfano wake!
Je mashonga, majambazi, chawa...
Maisha ya miili yetu chimbuko lake ni ardhini(vumbi la nyota), viumbe na mimea tunayokula na maji tunayokunywa, vyote vina asili ya ardhini(udongo)
Ardhini kuna madini, chumvichumvi, antibiotics...
WanaJF habari za wakati?
Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) na kukabidhi magari 19 kwa ajili ya ofisi za makao makuu na wilaya mbalimbali...
Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank
Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda.
Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu...
Dhambi nyingine ni kutumia rasilimali za Serikali na mwisho kukosa matokeo stahiki.
Natamani nisilalamike Bali niseme tu. Napongeza wizara ya Elimu kwa jitihada kubwa katika Elimu. Na pili...
Wazee wa kazi Hamjambo?
Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee
Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea...
Sisi Wananchi wa Kata ya Majohe Wilayani Ilala hapa Dar es Salaam tuna malalamiko kuhusu ubovu wa barabara inayotoka Gongolamboto kwenda Chuo Rada umbali wa kilometa tano.
Hali imezidi kuwa mbaya...
Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mifumo ya Hali ya Hewa haioneshi uwepo wa mvua hivi karibuni hapa nchini badala yake kutakuwa na ukavu na ubaridi ambapo Wananchi wametakiwa kuchukua...
Ukiweka pesa kwenye simu serikali wanapata kodi.
Ukiweka pesa kwenye account yako ya betting serikali inapata kodi.
Ukiliwa imekula kwako, ukila serikali wako na wewe.
Ile 10% ya 2024/2025 ilikuwa...
Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji.
Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa...
Asilimia kubwa sana ya ngano inayotumika viwandani inakua imported
Sasa nikiwa Rais wa Tanzania yale mashamba kule hanang ya ngano yatarudishwa na kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa za kilimo...
ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO.
Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya...
Wadukuaji wamekuja na style mpya ya kusambaza link zao zitakazofanya udukuliwe taarifa zako zote pindi pale utakapobonyeza tu hiyo link..Wanajifanya kwamba wana picha zako halafu anakuambia...
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye mfumo wetu wa Visa kwa watalii na ndio sababu kwa sasa watalii wengi wanakuja bila VISA (na ndio msimu umeanza hatujui huko mbeleni itakuwaje?)
Wageni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.