Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mimi mdau wa jamii forum, ninakero unayohusu idara ya maji katika wilaya ya Mafia kisiwa cha mafia mkoa wa pwan, maji wanayotumia wakaazi wa mafia si salama kwa afya za wakaazi kutokana kuwa na...
2 Reactions
4 Replies
461 Views
Elon musk, Mbwana Samantha, Bakhresa, etc hawatafuti utajiri bali wanafanya kusudi liwapalo furaha ndipo utajiri uwafuata. Utajiri ni matokeo ya nguvu ya upendo wa kufanya kile moyo wako una...
5 Reactions
9 Replies
393 Views
Anonymous
Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi! Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile...
1 Reactions
2 Replies
354 Views
Anonymous
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na...
1 Reactions
5 Replies
576 Views
NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JUNI 14/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
3 Reactions
13 Replies
909 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo...
2 Reactions
62 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wa kibiblia, Muisraeli ni mtu ambaye ni mzao wa Yakobo (ambaye Mungu alimpa jina jipya "Israeli" – Mwanzo 32:28). Hivyo basi: Muisraeli ni mtu kutoka kabila 12 za Israeli, ambazo ni...
5 Reactions
67 Replies
2K Views
Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu...
1 Reactions
11 Replies
446 Views
Ninatamani sana nikimaliza degree nijiunge na jeshi. Sasa kitu ambacho huwa ninawaza mara kwa mara ni kuwa jeshini hakuna uhuru pia kuna kupelekeshana sana . Sasa mbali na hii, je ukijiunga na...
5 Reactions
331 Replies
68K Views
Ilikuwa usiku mmoja wa wikiendi. Nilikuwa nimekaa sebuleni, kompyuta mpakato pangoni, nikiangalia documentary moja ya YouTube iliyokuwa inazungumzia mustakabali wa ustaarabu wa dunia. Sauti ya...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Na: Rorschach Je, unaweza kufikiria bara zima lenye historia kubwa, lakini historia hiyo haiko katika vitabu? Je, unaweza kufikiria enzi nzima ya kifalme, mapambano ya kifalsafa, na maisha ya...
2 Reactions
15 Replies
757 Views
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono. Mwisho...
6 Reactions
85 Replies
14K Views
Hivi majuzi mlinzi wa John HECHE aliachilia ngumi mchongoko (ngumi jiwe, ngumi kitofa) ili kumdhibiti chawa wa chama fulani cha siasa aliyekuwa akishiriki kuleta vurugu katika mkutano wa chadema...
29 Reactions
82 Replies
3K Views
Halafu Kuna watu utasikia mama anaupiga mwingi. CCM badilikeni sisi sio wajinga wa Enzi za nyerere, uongo naona umekuwa sehemu ya maisha yenu. Sasa kwenye 1.5M nyongeza ya asilimia 23 ndoiwe...
32 Reactions
122 Replies
12K Views
Habari , Watumishi ajira mpya ya Mwaka 2024 wamelipwa hela zao za kujikimu flat rate nchi nzima lakini Halmashauri ya Wilaya ya Ngara inawalazimisha Watumishi hao kusaini siku 5 tu na pia chini...
0 Reactions
6 Replies
876 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Kamati hiyo imesema, ujenzi wa...
1 Reactions
1 Replies
281 Views
Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo. Ukuaji...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi nina madhaifu mengi ila udhaifu mkubwa nilionao siwezi kukaa sehemu ambayo haina hewa ya kutosha yaan Oxygen ya kutosha. Namaanisha kama ukiniweka sehemu ambayo hakuna Oxygen ya kutosha hua...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Anonymous
Kwa mujibu wa maelezo yao @ritatanzania kituo cha miito (CALL CENTER) inakuwa wazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi sa 10 jioni, changamoto ni kwamba ukipiga simu ndani ya muda huo hawapokei...
0 Reactions
4 Replies
858 Views
Wanatufanya hamna yani hujampa hela ya kiwi (2000) anakuweka mkeka bila kujali kama unalisha familia kwa kuwa barabarani #dereva wa daladala
1 Reactions
17 Replies
826 Views
Back
Top Bottom