Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiingia kwenye page za twitter (X) unakuta viongozi wakubwa kabisa wanapost vitu kibao tu . Sasa je , inamaana na wao wanalazimika kutumia VPN ku access twitter ? Kama malengo nikuifungia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Yes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea. Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU. RUSHWA...
2 Reactions
8 Replies
523 Views
Habari watanzania wenzangu, Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu)...
1 Reactions
4 Replies
405 Views
Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Huo ni unabii ulioandikwa katika Zekaria 12:2 – “Tazama, nitaufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewesha kwa mataifa yote yaliyo pande zote…” Mungu alimtumia Nabii Zekaria kutoa unabii huo wa...
2 Reactions
15 Replies
831 Views
Wakuu amani ya Mungu, upendo na rehema zake viwe nanyi.Ni furaha kuu kwangu kupata nafasi ya kuungana nanyi hapa jamvini tena. Nipende kuwajulisha wajumbe wenzangu kuwa Mimi CHARMILTON...
20 Reactions
76 Replies
7K Views
Moja ya dhambi zinazowaangusha wengi ni “kutokusamehe”. Na hii inatokana mara nyingi na kutokuelewa nini maana ya msamaha. Ni rahisi kujilazimisha kusamehe lakini kama msamaha haujatoka ndani basi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko. Mimi Biblia yangu inanikataza...
1 Reactions
15 Replies
654 Views
Vijana ni sehemu kubwa na muhimu ya jamii, wakiwa na nguvu, ubunifu na mitazamo mipya kuhusu changamoto na fursa za maendeleo. Ushiriki wao kwenye michakato ya utoaji wa maamuzi – iwe ni katika...
2 Reactions
3 Replies
488 Views
Serikali unajua dhahiri kuwa na kiwanja cha kimataifa ndani ya hifadhi ya Serengeti ni makosa makubwa na madhara yake ni makubwa kuliko faida ila kwa wachache wanangalia faida za kifedha na...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga" Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda. Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna...
39 Reactions
95 Replies
6K Views
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra! Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania...
26 Reactions
78 Replies
3K Views
Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe
0 Reactions
12 Replies
451 Views
Wakuu naomba kuuliza kunywa pombe asubuhi ni kosa kisheria?
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Hii imenitokea leo, nilienda kubadili laini ya Vodacom ili nipate laini ya 5G, wakala akaniambia niweke finger print, niliweka mara mbili baada ya kusema mara ya kwanza nilikosea. Baada ya...
2 Reactions
9 Replies
709 Views
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Kama ulikua hujui faida ya POMBE MWILINI wacha nikufahamishe;- Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara, Sasa leo wacha nikufahamishe faida ya kunywa pombe, Lakini kabla sijakuletea...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi...
13 Reactions
107 Replies
3K Views
Back
Top Bottom