Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bajeti ya taifa ni nyenzo muhimu inayolenga kuhakikisha serikali inatoa huduma kwa wananchi na kuendeleza taifa. Ni hati ya fedha inayotoa dira ya mapato na matumizi ya taifa. Hata hivyo, bajeti...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae...
2 Reactions
7 Replies
695 Views
Kero ya Mabasi ya Mwendo Kasi (UDART) – Njia ya Kivukoni hadi Kimara Ndugu zangu, Naomba kuchukua muda kidogo kuzungumzia kero kubwa inayotukabili sisi watumiaji wa mabasi ya mwendo kasi...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Faith Jerop alipokutana na mwanamume Mrusi nchini Kenya, alihisi kama ameokota dodo kwenye mnazi. Upendo wao ulichanua vizuri, mdogo mdogo mpaka mahaba yakawa mazito. Na binti yao alipozaliwa...
2 Reactions
3 Replies
457 Views
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu wanajf popote mlipo . Leo sina mengi wakuu ,ila nataka majibu toka kwenu. Deni la Taifa leo ni T 100 plus ,ila yule mnafiki anasema kama watz tusiwe na...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
4 Reactions
19 Replies
793 Views
Wakati wa kukopa mnaliita DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha) Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!! Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama...
53 Reactions
50 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limesema linachunguza mauaji ya Mume na Mke ambao ni Anthony Hillary Ngaboli(46) na Anna ambao wamekutwa wakiwa wamefariki chumbani kwao katika nyumba...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field). Katika maandiko ya...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
🤣🤣 Wamisri wameona hawataki kuingizwa katika utapeli wa kipalestina. Wana maana yao kwa nini wameweka uzio mkubwa katika ya gaza na misri.
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Mambo vipi wadau, Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja. Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo...
34 Reactions
157 Replies
12K Views
Mihesabu kama ya Trigonometric ratios (Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje? Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa...
68 Reactions
398 Replies
39K Views
Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga. Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu! Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao. Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza...
7 Reactions
29 Replies
972 Views
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia malori mengi ya ndani na kutoka nje ya nchi yakiwa yamebeba makaa ya mawe kutoka Ruvuma kwenda sehemu mbalimbali. Matumizi hasa ya haya makaa ya mawe ni yapi...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu, hitaji hili ni la muhimu sana, msaada maana sikuweza kuchukua kitambulisho maana nilihamia nje ya Dar na sikupata ujumbe wa kwenda kuchukua.
1 Reactions
39 Replies
2K Views
MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini...
1 Reactions
1 Replies
230 Views
Back
Top Bottom