Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

What does that mean?
3 Reactions
28 Replies
434 Views
Ni mwanangu toka way back sana, Sasa tumekuja kuwa na ushkaji mkubwa miaka ya hivi karibuni, mixer wazazi wake wananifaahamu sana. Mimi ni mtu ambae nikizoeana na watu, hamnaga kupoa. Yaani ni...
5 Reactions
132 Replies
1K Views
Serikali imetoa kauli juu ya suala la upotevu wa watoto ambao umekua ukiripotiwa katika Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii ambapo imewaasa wazazi kuwa makini na kushiriki ipasavyo ulinzi wa...
1 Reactions
1 Replies
41 Views
  • Redirect
Sio kwamba siwaoni vijana wa kiume omba walio jazana kila kona . Ila taifa leo lina omba omba wanawake , kwa kigezo cha mapenzi zaidi ya wakoma, halafu wanaona ni kawaida tu wala hawana aibu🤔...
4 Reactions
Replies
Views
Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe...
12 Reactions
38 Replies
316 Views
Kuna jiji au manispaa ina park au sehemu ambayo mtu anaweza kwenda na kupata internet ya bure?
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka Agosti, 2026 ameendelea kuwafikia Vijana wa Kitanzania safari hii akitia nanga katika Kijiji cha Makunda, Mkoani Singida...
1 Reactions
2 Replies
46 Views
Katika Siku za Karibuni zimeonekana 'Klipu' kadhaa Za Mchungaji anayejiita Kiboko ya wachawi mitandaoni zikimuonyesha akiwadhihaki na kuwadhalilisha Waamini waliokuwa wakitoa pesa zao kwake kwa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha. Mambo...
70 Reactions
176 Replies
13K Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu. Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio...
2 Reactions
21 Replies
658 Views
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa...
1 Reactions
2 Replies
52 Views
Kwema-story ya kweli ambayo imenihusu moja Kwa moja na inaniumiza akili mpaka leo 2026 nikimuona jamaa akiwa chizi, cha ajabu akiniona ananifurahia na kutaka tukae tupige story Moderata-kichwa...
13 Reactions
25 Replies
650 Views
🔊 UNABII WA MWEZI WA 8 Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa...
15 Reactions
85 Replies
2K Views
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua. Kila...
19 Reactions
32 Replies
1K Views
Kabla ya tukio la Nchimbi kujiuzulu kutokea , walikuja jamaa wawili hapa kuleta za ndani kua Nini kitatokea, Mto wa mbu na britanicca, lakini hawa watetezi wa serikali walibisha sana, na kwa reply...
18 Reactions
29 Replies
437 Views
Kwa kweli kuna watu hawana ustaarabu kabisa. Unawezaje kuzungumzia maisha ya watu wengine hadharani, bila hata kujali faragha yao, tena ukiwa kwenye usafiri wa umma? Hujui hata kama mmoja wa...
2 Reactions
5 Replies
245 Views
Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki. a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amehoji hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Namiungo wilayani Tunduru, akisema ahadi hiyo ilitolewa na...
1 Reactions
0 Replies
42 Views
guest-1787486720
Jamani nimeweka kidole tarehe 10/8/2026 paka leo tarehe 18 sijafanikiwa kupata hela zangu jamani Kwani inachukuwa siku ngapi nssf? jamani familia zetu zitakufa njaa mke na mtoto watakula nini...
5 Reactions
31 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…