A well fed woman goes to bed naked

A well fed woman goes to bed naked

Ungeweka na picha kwa ihsani
1776506624297.jpg
 
haujapenda kucha umependa makebo😅😅😅,,, ndio wapo wanao weka na tupo ambao hatuweki
mm sio mlevi wa makebo.

Nimependa kucha.
Ila sasa uweke hata Hinna basi.
Sasa na vidole vyako hivyo vilivyo kama mbilimbi na huweki urembo, na jinsi unavyopenda kula kucha.

Hata haunogi ma mtu. Weka Hinna.
Ni sunna ya mtume. 😊😊😊

Salaam alyeikum, Amein.
 
It means that, when a person's basic physical, financial, and emotional needs are fully provided for and secured by their partner or household, they feel safe, relaxed, and completely at ease. In this context, this proverb applies to both men and women.
The thread should be closed.
 
mm sio mlevi wa makebo.

Nimependa kucha.
Ila sasa uweke hata Hinna basi.
Sasa na vidole vyako hivyo vilivyo kama mbilimbi na huweki urembo, na jinsi unavyopenda kula kucha.

Hata haunogi ma mtu. Weka Hinna.
Ni sunna ya mtume. 😊😊😊

Salaam alyeikum, Amein.
hapo mwisho sasa dah😅😅😅😅,,,

Hinna inanyonya dam labda nipake piko😜
 
Msemo “A well-fed woman goes to bed naked” kwa maana ya kawaida ya kimsemo unaashiria kwamba:


Mwanamke anayehisi ameridhika, anathaminiwa na anapata mahitaji yake vizuri katika maisha au kwenye mahusiano huwa hana sababu ya kujisitiri au kuwa na wasiwasi.


Lakini mara nyingi msemo huu hutumiwa kwa maana ya kimapenzi/kijinsia—yaani mwanamke anayefurahishwa na kutoshelezwa na mwenzi wake anaweza kuwa tayari zaidi kwa ukaribu wa kimapenzi.


Kwa Kiswahili unaweza kuufafanua kwa urahisi kama: “Mwanamke aliyeridhika hulala bila wasiwasi.”
 
Back
Top Bottom