Usilazimishe jambo linalokataa

Usilazimishe jambo linalokataa

Kwenye kutafuta hela mzee lazima uwe mtu wa kuforce muda mwingine, wavumbuzi wenyewe walishakutana na ukuta mara kadhaa lakini walikaza mwisho wa siku Boom!

Maskini hajawahi kulindwa na ulimwengu hata siku moja!
Yes but it depend, kuna watu waliwahi ku force michongo wakaishia jela . Kwahiyo inategemea hiyo riziki unaitafuta kwa njia zipi
 
Hoja ni kwamba tatizo ni uelewa wako
Uelewa wangu ni mkubwa, una generalize vitu na kufanya assumptions based on feelings and not facts.

Wakati mwingi tumeona Mungu akiwapa watu mkwamo ili ajidhihirishe.

Musa na Farao, Yesu na wayahudi na mifano mingi ambayo wapewa walipitia kwa watesi

Sasa hapo wewe ndiyo una uelewa finyu
 
Uelewa wangu ni mkubwa, una generalize vitu na kufanya assumptions based on feelings and not facts.

Wakati mwingi tumeona Mungu akiwapa watu mkwamo ili ajidhihirishe.

Musa na Farao, Yesu na wayahudi na mifano mingi ambayo wapewa walipitia kwa watesi

Sasa hapo wewe ndiyo una uelewa finyu
Tatizo una Generelize mambo , ninaweza nikakupa pia mfano wa ki biblia ambao una ku challenge kama safari ya mtume paulo ambayo ilikuwa ya kuvuka kwa njia ya maji ilikuwa na vikwazo vingi kabla ya hapo alilala usingizi nyoka akampitia mkononi akawaonya watu aliokuwa anasafiri nao kwamba anamashaka na safari wanayoenda itakuwa na hatari nyingi wakampuuza kilichokuja kutokea walipoteza shehena nyingi kwa misukosuko ya bahari
 
Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata

Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe Mapenzi yanayokataa , n.k . Universe is protecting you
Na hasa kama Amani ya Mungu ndani yako nayo inakataa. Cha kufanya hapo na wewe likatae!😀
Umenena vema ndugu🙏
 
Back
Top Bottom