Ni mtoto wa jamaa yangu. Huyu kijana ana miaka 12 tu ila amemtoa jasho jembamba jamaa yangu . Mtoto alianza kwa kukataa shule akienda shuleni anaishia kujificha anakuwa hafiki. Alipogundulika kuwa...
Najua wengi wameshtuka na Hawajui kama Tanzania Tuna kiwanda cha kutengeneza Simu za kisasa Yani Smartphone!!!
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nchini Tanzania Jerry William silaa...
Msaada wenu tafadhali!
1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba?
2. Nauli yake ni shilingi ngapi?
Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na...
1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani.
Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi.
hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua...
Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali.
Sasa hapa kwetu...
Hakuna ushahidi wa kisayansi wa moja kwa moja unaosema kuwa “wanyama wakali hawawezi kumdhuru watoto wadogo kwa sababu ya harufu yao.”
Lakini kuna nadharia na uchunguzi wa kitabia unaojaribu...
Katika utafutaji wangu nmejikuta nikienda kwa waganga mara kadhaa.
Kuna mganga mmoja niliona amenisaidia jambo fulani nikatokea kumwamini. Kwa miezi mitatu mfululizo biashara zangu zilikua...
Tafadhari mi si wa mbeya
Angalia takwimu hizi
Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion)
Mwanza: 7.2% (13.5 trillion)
Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion)
Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion)
Arusha: 4.7% (Sh8.9...
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na...
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na...
Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.
Kwa...
Hakuna kipindi kigumu kwenye maisha ya mwanadamu kama muongo wa tatu wa maisha yaani kati ya miaka 20 mpaka 30. Huu ni wakati ambao una changamoto nyingi sana za maisha na ni wakati ambao...
By Habari Hub Journalist
Zanzibar
June 19, 2025
Tunguu, Zanzibar – A diverse group of women leaders, political party members, government officers, religious leaders, and journalists gathered at...
Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika...
Kuna ulazima mtu yoyote Hadi uchafuke unuke uwe rafu ndio tuone utafutaji umepamba moto?
Kuna watu wakiwa katika harakati za kutafuta Pesa wlwanataka Kila mtu ajue. Hawajijali na hiyo ndio...
Watafiti wamethibitisha kuwa hili ni tukio kubwa zaidi la uvujaji wa taarifa kuwahi kutokea baada ya nywila bilioni 16 pamoja na taarifa za watumiaji wa mitandao mbalimbali kuvuja kuanzia Januari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.