Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi...
41 Reactions
424 Replies
11K Views
Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema. "HILI NALO MKALITIZAME" Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo! Lakini ukiwa...
8 Reactions
17 Replies
929 Views
Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha...
2 Reactions
45 Replies
1K Views
Mtume Paulo ndo alio anzisha Utatu kivyake, lakini alicheza namna muhimu katika kueleza na kutekeleza utamaduni uliokuwepo ndani ya dini ya Kikristo mpya na hii iliabiri taarifa mapema ya utatu...
1 Reactions
51 Replies
1K Views
Familia ya kijana Bernardo Masanja, mkazi wa Mtaa wa Tambukareli, Manispaa ya Shinyanga, imetoa wito kwa Jeshi la Polisi kuongeza kasi ya msako na uchunguzi ili kuhakikisha mtuhumiwa wa mauaji ya...
1 Reactions
0 Replies
330 Views
Nikiwa ndani ya mwendo kasi miezi kadhaa iliyopita,abiria mwenzangu anaongea na mtu kwenye simu kuhusiana na watoto ambao wameshindwa kumhudumia mzazi wao apate matibabu Baada ya kukata simu yule...
20 Reactions
127 Replies
3K Views
WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha...
6 Reactions
12 Replies
942 Views
Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake. Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Soma. Pia: Mwanafunzi akutwa amejinyonga baada ya kukatazwa kucheza kamari
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa "misplaced priorities" umekuwa tatizo sugu miongoni mwa Watanzania. Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa vipaumbele vya jamii yetu vimepotoka, mara...
2 Reactions
6 Replies
804 Views
Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa. Kumbe...
0 Reactions
9 Replies
412 Views
Wee binti kwani ukiitwa Kwa jina lako kidawa au chausiku au sikuzani Kwani Kuna shida Gani? Asee mnazingua dada unakuta anajiita Jina zuri lakini Halina uhalisia na Sura Yake. Leo nimeomba...
0 Reactions
15 Replies
498 Views
Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni. Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
MAUWAJI HAYA YATISHIA USALAMA IRINGA MJINI.... Askari kanzu wakikata kamba ili kushusha mwili wa kijana Nico Chalela aliyokutwa amejinyonga kiaina huku akiwa amepiga magoti jambo ambalo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
2 Reactions
5 Replies
572 Views
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa...
44 Reactions
158 Replies
7K Views
Nimesoma sana kuhusu hii dawa SHILAJIT. Hasa ile ya kutoka Himalaya lakini sijui kama inapatikana Hapa Dar. Tafadhali mwenye ufafanuzi anielekeze fika gani inapatikana.
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu. Kesi hizo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Zab 143:7 SUV [7] Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni. Tunafahamu kuna wagonjwa wa dharura, wagonjwa ambao huwa hawapangi foleni kama...
8 Reactions
11 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…