Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
4 Reactions
34 Replies
850 Views
Tudaidieni mbinu maana sisi wengine salary huwa inakata ndani kabla ya tarehe 7 baada ya kutoka,tunabakia tunaponea kwenye posho. Kwa sasa Posho imecheleweshwa boss kasafiri naona kama vile ni...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni...
1 Reactions
1 Replies
307 Views
RAIS SAMIA AMEWEKA ALAMA KWA WATUMISHI WA MAGEREZA ARUSHA, AWAGAWIA MITUNGI 528 📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
5 Replies
402 Views
1. Msg haziji kwa wakati zinapofanyika au kungiza transaction.............zinachelewa sana , one day sometimes compared to other banks 2. Salary, pension advances, nisogeze hazifanyiki kazi hadi...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Njia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja. Hii barabara kwa muda...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sasa mbona MAUAJI yanazidi sana NCHINI na EAST AFRICA KWA UJUMLA, Hawa majambazi wanazipata wapi ?hizi silaha, ? Wanazikodi kutoka kwa mapolisi/wanajeshi walarushwa ? Hebu shusha maoni yako .....
0 Reactions
2 Replies
249 Views
CHAUMA mlikuja na nguvu ya kutisha. Naona pumzi imekata. Labda sababu ya maokoto. Mikutano haipo kama vile Chama kimekufa. Amkeni tunawasubiri.
4 Reactions
34 Replies
2K Views
~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo June 25, 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia Serikali ya Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
347 Views
"Jifunze kusema ‘Sijui’, kwa sababu unavyojifanya kujua kila kitu, ndivyo unavyojifungia milango ya maarifa." — Alloyce, P.R.
1 Reactions
0 Replies
259 Views
Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Habari za jumapili wakubwa. Nina miezi minne tangu nikutane na mama mmoja kwenye facebook kama rafiki yangu. Huyu mama ana watoto wawili wa kike, mmoja kwa elimu ya huku ni Secondary form two...
4 Reactions
115 Replies
17K Views
King'amuzi cha dishi cha azam kimejilock vp naweza kufunguaaa
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Uaminifu Hauwezi Kulazimishwa, Unatoka Moyoni,Unaweza Kuwekeza Muda, Upendo Na Kujitolea Kwa Mtu, Lakini Hilo Halihakikishi Uaminifu Wake. Watu Huamua Kuwa Waaminifu Si Kwa Sababu Wamelazimishwa...
4 Reactions
17 Replies
691 Views
Wakuu, Katika kipindi cha wiki moja tu, mbunge mmoja ambaye kwa muda wa miaka mitano alikuwa kimya na asiyeonekana mara kwa mara katika shughuli za maendeleo, sasa ameibuka kwa kasi ya ajabu...
1 Reactions
6 Replies
643 Views
Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni...
1 Reactions
5 Replies
467 Views
Wadau Nina maswali machache hapa ningependa kufahamu: 1. Chanzo cha Dini: Ilianzia Wapi? Je, dini ziliundwa na Mungu au binadamu? Je, zilitokea lini na kwa nini kila tamaduni ina dini yake? Kabla...
0 Reactions
14 Replies
814 Views
Back
Top Bottom