Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni. Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta...
12 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwakipindi kirefu nmekua nikiwasilisha MADA nyingi zinazohusiana na masuala ya elimu lakini kutokana na kundi kubwa la watanzania karibia asilimia 95 kuwa na elimu ya kidato Cha Nne kushuka chini...
0 Reactions
11 Replies
377 Views
Kimataifa Kulingana na data ya kujieleza binafsi, uchambuzi wa meta wa mwaka 2011 wa tafiti 217 kati ya mwaka 1980 hadi 2008 ulikadiria kiwango cha kimataifa cha manyanyaso ya kingono kwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili. Hayo yameelezwa na...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
mkienda kwenye migahawa usinawe maji yanayomiminika chini ya ndoo nyingine kwani wanaweza kutumia maji waliyonawia wateja kuongeza mvuto wao wa biashara au kupikia kwenye chakula. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
19 Replies
926 Views
Turahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo. Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya...
1 Reactions
34 Replies
874 Views
Habari wana JF. Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa...
48 Reactions
167 Replies
8K Views
Usiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me...
2 Reactions
5 Replies
313 Views
Kuna miamba wamekuwa kimya nakujifanya wao mmmm hawataki makuu japo naeao misimamo yao ni ile nika moles fulani wanajitaidi wapite haka kamchujo waanze kusumbuwa acha akina mh Mpina hawa wamekuwa...
1 Reactions
4 Replies
568 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Jamhuri ya Msumbiji 24 Juni 2025 ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya...
3 Reactions
17 Replies
887 Views
Habari wana jf Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t. Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza...
1 Reactions
4 Replies
403 Views
1. Usiichukie kazi yako, Hakuna kazi mbaya maana hiyo ndo inakupa kipato. 2.Usitengeneze Faida kwa Watu wasio miongoni mwako. 3.Usimsaidie mtu ukitegemea kupata kitu Fulani 4.Usimuamini mtu...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa...
3 Reactions
7 Replies
624 Views
McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani...
1 Reactions
0 Replies
300 Views
Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka...
2 Reactions
12 Replies
554 Views
Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!! Uliza chochote… Mr chromium
8 Reactions
117 Replies
6K Views
Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata...
13 Reactions
57 Replies
4K Views
Back
Top Bottom