Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu. Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
23 Reactions
51 Replies
3K Views
[Mwz19:1]Malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi. [Mwz19:2]Akasema, Bwana zangu, karibuni...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Daktari wa ganzi wa China, Zhang Junqiao, aliwahi kusema kwamba "Bila kujali utaifa au rangi, ninachothamini zaidi ni maisha," Asubuhi ya siku ya Ijumaa, zaidi ya watu 300 walikusanyika huku...
9 Reactions
9 Replies
842 Views
Wakuu naomba mnijuze .. ntatarajia kwenda kuishi wilaya ya muleba vp maisha kiujumla Hali ikoje especially huduma za kijamii ,nature ya watu na mazingira, uchumi
4 Reactions
8 Replies
590 Views
Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) kikishirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa, Tanzania, hivi karibuni waliandaa mashindano makubwa ya kwanza kabisa na ya aina yake kufanyika...
1 Reactions
2 Replies
521 Views
Nazi na ubabe wake wote, ila alitia sainii na Soviet, japan na itali. 1967, Vita ya siku sita, Misri, jordan na syria ziliungana kumpiga israel. Ila leo eti vijana wa itikadi kali wana lia lia...
1 Reactions
4 Replies
258 Views
Habarini wanajamvi. Ukitaka kujua matumizi/bajeti yako kwa mwezi fanya hivi. Chukua matumizi yako yoote unayotumia kila siku/kwa mwezi then uyagawe kwa siku 30. Mfano unalipa 1. Kifurushi cha...
2 Reactions
0 Replies
344 Views
Hebu fikiria kama ingekuwa ni Lord Denning peke'ake anayetoa haja kubwa Hali ingekuaje? Asingeweza hata kuanzisha mada kwa jinsi angetaniwa na kuchekwa.
13 Reactions
199 Replies
7K Views
Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi? Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi? Mungu ni nini na nani na yuko wapi? Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Jacob said, Simeone and Levi are brothers Their knives are vicious weapons May I never enter their council May I never join their assembly, Simeone- Sheria, Levi- Dini Sheria na Dini, ni ndugu...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Technical UX Feedback kwa Mfumo wa eRITA leo nilikua napitia huu mfumo wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo lakini kuna baadhi ya vitu nimekutana navyo upande wa UI/UX (user interface na user...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
iwe funzo kwa watu kuwa na utu na moyo wa shukrani na pia kwa wengine iwe funzo la kuto kujitoa sana kwa watu Waka acha mambo yao Kila mtu anapitia high na lows. Hakuna mtu anapitia highs peke...
6 Reactions
4 Replies
602 Views
Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc...
13 Reactions
138 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa hayo mapanga yalitengenezewa wapi na je mpaka yanapita malori yamebeba waliokuwepo kwenye mamlaka hawakuweza kutilia Shaka hata kidogo na je intelijensia haikuweza kujiuliza kwanini...
1 Reactions
9 Replies
628 Views
Habari wadau, Najaribu kujitoa kama share holder kwenye kampuni fulani kwa sababu ya comflict of interest na ninapofanya kazi. Niiandika barua kwa maCEOs wenzangu wameipokea je kuna utaratibu...
1 Reactions
3 Replies
438 Views
Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya kilimo na lishe huku akisisitiza kilimo...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
SIRI nje! Sakata la mmiliki wa Kliniki ya Tiba Asilia ya Fore Plan iliyopo Ilala Bungoni, Dar, Dk. Juma Mwaka ?JJ Mwaka? kufanyiwa ziara ya kushtukiza na baadaye kudaiwa kumkimbia Naibu...
0 Reactions
45 Replies
16K Views
Back
Top Bottom