Mnaotegemea mshahara tuu bila posho huko makazini mnamalizaje mwezi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Tudaidieni mbinu maana sisi wengine salary huwa inakata ndani kabla ya tarehe 7 baada ya kutoka,tunabakia tunaponea kwenye posho.

Kwa sasa Posho imecheleweshwa boss kasafiri naona kama vile ni mwezi mwingine nimeingia bila salary 🤣🤣

Sasa ndio najiuliza Watumishi wenzangu huwa mnatoboaje bila posho?
 
Tudaidieni mbinu maana sisi wengine salary Huwa inakata ndani kabla ya tarehe 7 baada ya kutoka,tunabakia tunaponea kwenye posho.

Kwa Sasa Posho imecheleweshwa boss kasafiri naona kama vile ni mwezi mwingine nimeingia bila salary 🤣🤣

Sasa ndio najiuliza Watumishi wenzangu Huwa mnatoboaje bila posho?
wanaiba
 
Mindset tu..

Kanuni ya Financial literacy inasema kwamba hakikisha una savings za kukusongesha miezi si chini ya 6. Yaan uwe na akiba ambayo kila mwezi unaweza kuchomoa kias cha fedha unayoingiza (Mshahara) kwa miezi 6 mfululizo.

Sasa kama upo ktk level ya kutoweza kuhimili mwezi mmoja au wiki kadhaa basi upo ktk hali mbaya ya Kiuchumi.
 
Kwa mshahara wa 500k kwa mwezi bila posho. Uwe na familia. Ukiweza kusave hela miezi 6 na ukaishi miezi 6 ijayo.. unatakiwa usiendelee kuajiriwa. Utakuwa na hadhi zaidi ya udaktari wa heshima
 
Inawezekana

Ni vizuri uwe mfanyakazi au mfanyabiashara unbidi kuwa na Akiba ya wewe kuweza kula mwaka mzima pasipo kutegemea huo mshahara.

Gharama za MAISHA ukizipangilia vizuri mishahara kukutana inawezekana vizuri.

Kama napata 500k inanitosha Sana Mimi na familia yangu kutoboa miezi miwili bila tatizo

Mimi mke na mtoto na Akiba naweka kiasi chake
 
Labda Europe na Ulaya sio bongo
 
Pesa inahitaji nidhamu sana, nitajitahidi.
 
Back
Top Bottom