Kufanya Makubaliano na Ibilisi

Kufanya Makubaliano na Ibilisi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,197
Reaction score
35,900
9e020dd3b038b310de6b7ec86908c6ee~2.jpg

Roho yako inasemekana kuwa untouchable haifikiwi na aina yoyote ya force ulimwenguni na beyond, hata kinachoendesha maisha yetu ni zawadi ya uhai tuliyonayo na kile tunachoweza kuki-offer tu ni nafsi yetu pekee, lakini roho yako haipo katika uongozi wako, maana ilikuwepo kabla ya wewe kuwepo, ilikuwepo kabla uwepo wna siku ya pumzi yako kuisha, itaendelea kuwepo.

Ukisha offer nafsi yako, unakosa mamlaka ya utu wako na vile vilivyokuwa connected na wewe, kwa sasa na vizazi vijavyo.

Ukisha offer nafsi yako unaweka blockage ya mwangaza na muelekeo kutoka kwa roho yako, unakuwa connected na hatma isioumbwa kwa ajili yako.

Screenshot_20250626-103259.png

Kuna stori ya zamani ya bwana mmoja alimuua mtu mwingine wa kabila lingine.

Wazee wa kabila ya bwana aliyeua walienda kwa wazee wa kabila ya mtu aliyeuliwa

Waliwaomba msamaha, na wakafanya mambo ya jadi, ila wazee wa alieuliwa walisema ili haya mambo yakae vizuri mnapaswa huyu alieua aitwe majina mawili , yani lake na la alieuliwa.

Hata kama kwa baadae vizazi vyake vikiita watoto wao jina hilo wanapaswa kuambatanisha na la alieuliwa.

Miaka ilipita ila ni kama walipuuzia, wakawa wanaita watoto wao jina moja, wakawa wanakufa mmoja baada ya moja, ila walivyoita mawili watoto walikaa sawa na pia kukawa na situations za hili jina ku-force aitwe mtoto, asipoitwa , mtoto analia bila kuacha na kukataa kula.

DEALS ARE DEADLY
 
Back
Top Bottom