Aina tatu za hofu; Ipi inayokutesa sana

Aina tatu za hofu; Ipi inayokutesa sana

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,515
1: HOFU YA KIBINADAMU
Hii ni hofu ya Asili ya mwanadamu. Historia ya kiroho inaonyesha hii hofu haikuwepo kabla ya Adam na Eva kula tunda. Iliibuka tu baada ya wao kuanza kumkimbia Mwenyezi Mungu. Hii Kila mtu anazaliwa nayo. Inajumuisha hofu ya kufa, kutumia, mambo mapya, Giza, mazingira n.k

2: HOFU YA KISHETANI
Hapa hofu inakuwa ni ROHO. Ninaposema ROHO namaanisha linakuwa na wakala wa KISHETANI anayefanya kazi kukufanya uwe na hofu. Anaweza KUWA anakumiliki kutokea akili mwako ( Demon Possessed) au anakuendesha KWA nje ( Demon Controlled) au kukutesa KWA nje ( Demon oppressed). Hii inatesa wengi KWA kujua au kutokujua. Sio Kila hofu ulionayo ni ya kijinadamu nyingine ziko chini ya kandarasi ya kihindi zikikufunga spidi.

3:HOFU YA MUNGU
Hofu ya Mungu au Kumuhofu Mungu ni Kumpenda sana Mungu kiasi kwamba hauko tayari kufanya jambo ambalo ni kinyume na maagizo yake. Ni KUWA tayari kukosana na watu, kutoeleweka, hata kudharauliwa na watu kuliko kumkosea Mungu. Hii ndio hofu ya Mungu.

Vitabu vitakatifu vinaonyesha mifano kadhaa mfano, Yusuph alimpenda Mungu Sana kiasi kwamba hakuwa tayari kuzini na mke wa bosi wake. Kwake kwenda jela ni sawa kuliko kukubaliana na mambo ambayo Mungu hapendi.

Ukiwa na hii hofu huwezi kuogopa mambo mengine madogomadogo ya kimaisha. Itakupa uwezo wa kudhubutu na kujaribu bila hofu ya Kifo maumivu Wala kudharauliwa.

Ni hayo tu

Mtumishi Matunduizi
 
1: HOFU YA KIBINADAMU
Hii ni hofu ya Asili ya mwanadamu. Historia ya kiroho inaonyesha hii hofu haikuwepo kabla ya Adam na Eva kula tunda. Iliibuka tu baada ya wao kuanza kumkimbia Mwenyezi Mungu. Hii Kila mtu anazaliwa nayo. Inajumuisha hofu ya kufa, kutumia, mambo mapya, Giza, mazingira n.k

2: HOFU YA KISHETANI
Hapa hofu inakuwa ni ROHO. Ninaposema ROHO namaanisha linakuwa na wakala wa KISHETANI anayefanya kazi kukufanya uwe na hofu. Anaweza KUWA anakumiliki kutokea akili mwako ( Demon Possessed) au anakuendesha KWA nje ( Demon Controlled) au kukutesa KWA nje ( Demon oppressed). Hii inatesa wengi KWA kujua au kutokujua. Sio Kila hofu ulionayo ni ya kijinadamu nyingine ziko chini ya kandarasi ya kihindi zikikufunga spidi.

3:HOFU YA MUNGU
Hofu ya Mungu au Kumuhofu Mungu ni Kumpenda sana Mungu kiasi kwamba hauko tayari kufanya jambo ambalo ni kinyume na maagizo yake. Ni KUWA tayari kukosana na watu, kutoeleweka, hata kudharauliwa na watu kuliko kumkosea Mungu. Hii ndio hofu ya Mungu.

Vitabu vitakatifu vinaonyesha mifano kadhaa mfano, Yusuph alimpenda Mungu Sana kiasi kwamba hakuwa tayari kuzini na mke wa bosi wake. Kwake kwenda jela ni sawa kuliko kukubaliana na mambo ambayo Mungu hapendi.

Ukiwa na hii hofu huwezi kuogopa mambo mengine madogomadogo ya kimaisha. Itakupa uwezo wa kudhubutu na kuharibu bila hofu ya Kifo maumivu Wala kudharauliwa.

Ni hayo tu

Mtumishi Matunduizi
Ukiwa na hii hofu huwezi kuogopa mambo mengine madogomadogo ya kimaisha. Itakupa uwezo wa kudhubutu na kuharibu bila hofu ya Kifo maumivu Wala kudharauliwa.
 
watu wengi wanasumbuliwa na fear of unknown.
HOfu nyingine ni hofu dhaania. Hazina uhalisia.

Mfano mtu analala anajiona anavyotarajiwa KUWA mkubwa, anamaliza Chuo na anakosa kazi. Anaanza kuogopa wakati hapo Yuko form 1. Kati yake na hofu yake Kuna millions of possibilities. Hii ni hofu ya kijinga
 
Back
Top Bottom