Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAIFANYA TANZANIA KUWA SAFI NA YENYE USTAARABU MKUBWA Ukweli ni kwamba watanzania sio wastaarabu na wasafi kwa asilimia kubwa sana, wanatakiwa kufundishwa ustaarabu;-...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
TANZANIA NA ALMA WASAINI MKATABA WA UENYEJI Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili. Ubongo wa kushoto Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa...
5 Reactions
16 Replies
988 Views
‼️The new face of Kim Jong Un: North Korea's new tourist gem on the coast of the Sea of June 28, 2025 North Korea has officially opened its most ambitious tourism project to date – the...
2 Reactions
1 Replies
349 Views
Karibuni wote katika darasa maalumu tuliloanzisha hapa Jamii Forum, lililopewa jina la: Siri za Nyota na Hatima Katika darasa hili tutajifunza: Nguvu ya nyota zako na zinavyoweza kuathiri maisha...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele. Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika...
25 Reactions
177 Replies
5K Views
https://youtu.be/dmc-xxRof60?si=AQyC2o1xsr_iCO7m Bro hebu kaa chini tusimuliane hii ishu ya zamani lakini bado inabamba hadi leo. Kama uliishi enzi za Bongo Flava halisi, lazima utakumbuka ule...
1 Reactions
0 Replies
344 Views
Habarini wana JFwenzangu, I hope mko gud. Moja kwa moja niende kwenye mada asilimia kubwa ya mademu wa chuga wanazingua kichizi wengi wao unakuta wanavuta bangi, kuchanja mirungi (veve) na...
27 Reactions
278 Replies
18K Views
Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa. Je tunakosea...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
▪️ _Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) wamshukuru Rais Samia kwa Mazingira Wezeshi, Wawataka Watanzania Watumie SwifPack UMM umeendelea “kukiwasha hadi SABASABA” baada ya kufanya matembezi ya...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Habari wadau. ni mimi peke.yangu ama na wengine. Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ? Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi...
2 Reactions
106 Replies
4K Views
Shirika la Posta Tanzania leo limepokea ugeni wa wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Gilman Rutihinda iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Kata ya Kigogo, walipotembelea banda la Posta katika Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
INTRODUCTON. Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo. Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na...
20 Reactions
157 Replies
9K Views
Aslaam, Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake. na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi. sababu Moja...
11 Reactions
14 Replies
1K Views
Hili suala linatafakarisha. Katika Kanda zote nchini ni Kanda ya nyanda za juu kusini ndio wateule wengi wa Rais wameamua kukimbilia majimboni kugombea ubunge. Nawapa kwa ufupi 1. Mbeya. Mkuu...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na...
1 Reactions
1 Replies
318 Views
Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
2 Reactions
10 Replies
703 Views
Ndugu zangu, Mungu yupo na amekuwa akiongea na watu wake tangu zamani hadi leo. Katika maisha ya kila siku, Mungu anatumia njia mbalimbali kuwasiliana na sisi. Lakini mara nyingi tunakosa kuisikia...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom