Waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory Of Christ Tanzania Church) wameonekana kuendelea kuwa na ari kubwa ya kuimba na kufanya maombi huku wakitaja jina la "Yesu" na wengine wakifanya maombi...
Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe.
Mpaka hapo ni...
Wakuu
Nimekutana na video hii mtandaoni nadhani iakuwa ni Kenya hii lakini ni tabia ambao hata hapa Tanzania imeota mizizi
Yaani unakuta hata pale Ferry, pantoni likiwa karibu kushusha watu...
AMEANDIKA AHMED ALLY
Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya...
"Mtoto wangu Junior kawa mwanafunzi wa kwanza kati ya wanafunzi watano wanao soma darasa la pili kwenye shule ya msingi ( EMS jina kapuni)"
Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya rafiki yangu wa "...
Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au...
Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba...
Kwenye biblia agano la kale utaona ya kwamba Bwana alitukataza kuambatana na wenye pepo ya utambuzi na akatukataza pia kuambatana na wachawi, ili tusipate unajisi.
Kwa maisha ya sasa, tumeona ya...
Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza:
---
🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza
✅ (a) KIMWILI (Physical effect)...
My Take
Serikali harakisheni ujenzi wa Sgr ya Tanga-Arusha-Musoma/Isaka(Shinyanga) Ili Bandari ya Tanga itumike Kwa mizigo ya Mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa Vinginevyo tutaendelea kuwa Wateja...
"Ni kosa la jinai mwandishi wa Habari kufoji cheti au kitambulisho cha kazi usipoteze muda wako kufanya hivyo maana tukikubaini tutakushughulikia
Na waandishi na Habari msiyo na sifa nendeni...
Kuna majina manne ya wabunge wa viti maalumu(ccm)mkoa wa Kilimanjaro ambayo wanatajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba watapasua tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kupitia Umoja wa...
Tumewapa wanyama hadhi ya uhayawani kwakuwa hawana utashi wa kibinadamu... Lakini nina hakika tumewaonea Sana
Mnyama anaua tu pale anapohisi hatari kubwa na anafanya hivyo kwa njia ya kujitetea...
Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.
Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam...
Herbal tea (chai ya mitishamba) ni chai inayotengenezwa kwa kutumia mimea, majani, maua, mizizi au magome ya miti tofauti badala ya majani ya chai ya kawaida (Camellia sinensis). Hutumika kwa...
Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji...
Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;-
Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili
Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza,
Kutumia...
UNAJIMU (ASTROGEOLOGY)
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Tabia za Nyota
Unajimu au astrolojia ni elimu juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha ya binadamu duniani. Wanazuoni wa unajimu...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.