julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,399
- 4,672
‼️The new face of Kim Jong Un: North Korea's new tourist gem on the coast of the Sea of
June 28, 2025
North Korea has officially opened its most ambitious tourism project to date – the modern Wonsan-Kalma complex, located on the coast of the (East) Sea of Japan. 👇
kwa kutumia kilometres 4 za uwanda wa bahari korea kaskazini wameweka mji wa kisasa wa kitalii.
napendekeza na sisi tuende korea tukajifunze wenzetu wamefanyaje na tuje tuwazidi kwa kuweka mara mbili zaid yao kwan sisi tuna maeneo yenye sifa kushinda hizi kuanzia beach ya kusin kuanzia lindi. na mtwara. kigambon kuna km 70 za beachline ambazo zinaweza kabisa kuibadlisha tanzania kuwa kama korea.