Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Familia ya Mengi na media zote zinamtaja kama mwanzilishi wa IPP tu bila kueleza lolote kama mke wa kwanza wa Mengi. Hata kama ndoa ilivunjwa, waligombana vipi lakini kumnyanyapaa hivi unajifunza...
1 Reactions
42 Replies
23K Views
Dar es Salaam, Juni 28, 2025: Kampuni ya Vodacom Tanzania ikishirikana na Benki ya Stanbic imezindua jezi ambayo itatumika kwenye msafara wa Twende Butiama ya 2025. Akizungumza wakati wa uzinduzi...
0 Reactions
4 Replies
348 Views
Mat18:23Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyeamua kukagua hesabu za watumishi wake. Mat18:24Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta elfu kumi...
2 Reactions
6 Replies
256 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika...
2 Reactions
5 Replies
846 Views
Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa...
0 Reactions
5 Replies
409 Views
Hii ajali iimetokea pipeline Mbeya. Sababu kubwa ni barabara ni nyembamba.. Sasa wananchi washaanza kusogea na madumu
4 Reactions
16 Replies
671 Views
Jamani ifike pahala sasa kama tunajijua kuwa ama tumelewa au tumelala nazo tusiwe tunakurupuka kwani tunaaibika!!
1 Reactions
5 Replies
352 Views
Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa. Kwa nini...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Hebu wenzangu na ninyi angalieni UPENDO TV muda huu. Ni kampain zaidi ya kampeni. KKKT tunakwama wapi? https://www.youtube.com/live/WlGZ2ocj6Bk?si=C2R94OQyjKIPMvuC
0 Reactions
5 Replies
490 Views
Chawa ni zaidi ya mpambe. Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani. Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye...
4 Reactions
70 Replies
3K Views
Hili redio sijaielewa pamoja na kuwa na vipindi vizuri. Cha ajabu hii redio kuna wakati haipatikani hewani hata masaa masaa mawili ukifungulia redio utasikia inafoka tu. Kila saa nne asubuhi kuna...
8 Reactions
72 Replies
2K Views
Mtu kama alifeli darasa la saba asipewe cheti Cha udereva na hasa kama alifeli somo la hisabati! Unawezaje kumpa leseni ya udreva mtu aliyefeli hisababi yenye vipengele vya kujua ,distance ,speed...
6 Reactions
13 Replies
665 Views
Inatia aibu na fedheha kijana umeshamaliza shule kwa ngazi yoyote na bado unakaza chogo na komwe nyumbani kwa wazazi wako. Kwa sifa hizi beba begi au mfumo wa Jero ukapambane mbele kwa mbele; 1...
9 Reactions
68 Replies
2K Views
Leo, Juni 29, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, atafanya mkutano muhimu na waandishi wa habari. Mkutano huo...
1 Reactions
2 Replies
318 Views
Watu 43 wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa katika ajali mbali za magari zilizotokea Wilayani Same mkoani Kilimanjaro na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa. Tukio la kwanza ni la basi la...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila...
4 Reactions
14 Replies
667 Views
Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia...
2 Reactions
3 Replies
400 Views
Jana wakati wa hotuma ya Mh Rais uapisho wa viongozo mbali mbali kuna sehemu kuhusu maelekezo ya Mh Rais kuhusu matumizi ys sheria za PPRA uachwe, Ushauri wangu kwa jopo la washauri wake...
1 Reactions
2 Replies
355 Views
Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13. Taarifa fupi ya jeshi la polisi...
1 Reactions
69 Replies
3K Views
Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea...
3 Reactions
18 Replies
835 Views
Back
Top Bottom