Wasaalam Wana Jukwaa wote.
Kwa aliyebarikiwa neema ya Kulea watoto kwa malezi ya kambo au kumuasili kisheria awe wake;
UTARATIBU;
Baada ya kuwasilisha maombi Halmashauri;
1. Afisa Ustawi wa...
Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au...
Familia nyingi sana hususani za Kiafrika,kuna mtoto mmoja wa kike au wa kiume,ila haswa wa kiume,anakuwaga tofauti sana na wenzake,kisirani cha familia.Hapatani na wote mdokozi,mlevi,anauza vitu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda...
1.Anapindisha maneno yako hadi ukaanza kutilia shaka maana halisi ya maneno yako au maisha yako kwa ujumla
2.Anakufanya ujisikie vibaya au hatia pale unapokataa kufanya sawa sawa na matakwa yake...
📘 SOMO LA JICHO LA TATU:
#VaticanSecretArchives | #SafariYaUhai | #JichoLaTatu | #TambuaUkweli | #ElimuYaKiroho
🔍 UTANGULIZI:
Katika ulimwengu wa dini, mahali panapotajwa kuwa patakatifu...
Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama...
🌟 HABARIIIIIIIII🌟
🎬 HARD DISK 15TB YA BURUDANI KILA AINA! 🎬
Unapenda movies? Unapenda series? Basi hii ni SPESHO yako! 🔥
Nauza Hard Disk 15TB ikiwa na:
✅ Filamu zote (Zilizotafsiriwa Kiswahili &...
Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.
Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada...
Muhamad. Huyu namkubali na ndo role model wangu ana nii inspire sana hata ukisoma nyuzi zangu MMU utaona ni mfuasi wake sana. Namkubali kinyama.
Nitapenda kwenda pata zawadi aliyotuahidia...
Mti wa Uzima (Tree of Life) una maana ya kina sana katika mafundisho ya kiroho, falsafa, na hata sayansi ya kale. Maana yake kuu ni:
1. Chanzo cha uzima wa kiroho na kimwili:
Ni alama ya nguvu...
Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale...
Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile.
Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu...
Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza.
Na Mambo mengine yanaendelea kama...
What I am seeing is the habit of few individuals aspiring to be baptized heroes for uncalculated utterances and writings, meanwhile paying to be feedbacks to funders. Aidan Eyakuze and Khalifa...
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu...
Bila kujali hali ya raia huyo, ana hela au hana hela, kijana, mwanamke, mzee, mtoto, mrefu, mfupi, mweusi au mweupe, Usalama wa Raia mmoja mmoja wa Marekani na Nchi za Ulaya na Usalama wa Wananchi...
"Ukiwa na akili ndogo katika dunia hii, utajikuta mtumwa wa matamanio ya mwili hadi siku mwili utakapoamua kukuangusha kwa aibu. Angalia mfano wa Mzee Mussa Hassan Ntakula (70) wa Kijiji cha...
Sirari weighbridge upande mmoja haufanyi kazi huduma zimesimama inabdi gari linalotokea mpakani ulazimika kuzungunga had entrance ya kwenda mpaka kupima uzito yaani imekua kero sana na huduma...
Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali.
Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.