Salaam wote
Nataka nifungue kanisa wakuu church and charity that helps many out there...
tupeane code wawakilishi wa makanisa ya kiroho, nataka niwafundishe watu wa mungu mambo mengi mazuri...
Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja.
Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake.
Pesa kadri...
Ni katika kukumbushana..., tusije kuwaachia urithi wa kutulipia kile tunachokitumia leo, Ikiwezekana tutafute mbadala; kama kesho tutaweza kulipa kwa kukamuana kwanini uwezo huo wa kulipa kesho...
1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe
2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu
3; hakikisha...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkazi wa Ibanda, Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela kwa...
Watu sita (6) wamepoteza maisha na wengine ishirini na mmoja (21) kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea leo Juni 28, 2025, katika eneo la Kona ya Ulinji, nje kidogo ya Mji wa Sumbawanga, mkoani...
Kama mnakumbuka kuna uzi nilishawahi kuwaletea hapa kuhusu mtoto wa mama yangu mdogo namna alivyomvuruga mama yake kisa misimamo mikali ya kidini ule uzi kama mnakumbuka niliwaambiaga mama mkubwa...
Kumekucha kumekuchaaaaa,ndivyo unavyoweza kusema baada ya chama cha mapunduzi(CCM)kufungua pazia kwa watia nia nafasi za ubunge na udiwani kuanza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya chama chao...
Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni wahariri.
Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu Kwa wagombea wao, ubunge, udiwani na Rais...
Pale ndege inapoanza kupaa hukimbia na kupiga kelele.
Ikianza kupaa kuna hatua inafika kunatokea hali ya ukimya na wakati huo huo inakuwa kama vile inakosa nguvu na kuanza kushuka chini kidogo...
Jana usiku nilikesha nikiitazama katuni ya filamu ya moana, sikuitilia maanani stori yake mimi nilifocus na namna jamii inavyoishi, inavyo-organize na mazingira yake
Kama ilivyo asili yangu ni...
Wakuu maonyesho ya saba saba yamekuwa yanafanyika Dar Es Salaam tu. Sasa huku nina kama ekari mbili. Nataka niweke maonyesho ya saba saba. Nipangishe wafanyabiashara waweke matenti. Naruhusiwa...
Nawashauri vijana tukubali kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo tafuta kizimba au sehemu mnadani omba bidhaa kwa mali kauli
Ukihitaji ushauri zaidi ni Follow Justine mtasiwa au Justine mitumba.
Habari za jioni ndugu na dada zangu
Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach
Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina...
Katika hili, mimi hurejea hekima ya Bruce Lee. Aliwahi kusema " I don't fear a man who has practised 5000 kicks, but I fear a man who has practised 1 kick 5000 times"
Bruce Lee is making a lot of...
Mathayo anasema kuhusu Maria wakati Yosefu alikuja naye kutoka Misri:
“Lakini aliposikia kwamba Arkelao anatawala Yudea badala ya baba yake Herode, aliogopa kwenda huko. Na baada ya kuonywa...
Njia ya kuwa tajiri kwa kutumia Nuru (mwanga wa kiroho) na msaada wa malaika wa mwanga (divine angels) inahusisha kujenga muunganiko wa kina wa kiroho, nidhamu ya kiroho, na mazoea ya kiimani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.