ibrahim Traore
Senior Member
- Aug 11, 2024
- 157
- 228
Wazazi wetu walitulea vyema,hata kwenye upande wa kula na kukiheshimu chakula.
Walikuwa hawal uhusu watoto kuongea wakati wa kula,hili lilikuwa ni jambo jema,kiafya na nidhamu,kwani ukiongea huku unakula unaweza kupaliwa na ikadhuru afya.
Je watoto wa Gen z hufunzwa hivyo.