Leo sito salimia kwa mara ya pili wakuu wangu jf maana ni mada ya pili leo.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Aliesema akili ndogo haiwezi endesha akili kubwa ,tumheshimu sana pamoja wenda na...
Nimemkabidhi P Diddy Kwa Yesu tangu Jana. Nimemuachia mwokozi Angie mzigoni na kuzishinda chuki za mabeberu mabaguzi na Diddy awe huru Leo.
Na kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu aachiwe huru Na...
Mtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi...
Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa.
Baada ya kifo, ndio mwanzo wa...
Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu
Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu...
Nikiri kwamba mie kwa majukumu yangu ya kimaisha ni mtu ninayezunguka sana katika nchi hii na maeneo mengine ya Dunia ukipenda.
Arusha pamoja na kuwa na sifa za madhari nzuri, muingiliano wa watu...
Ni kweli, maandiko haya ya biblia hupingana wazi wazi, mwenye ufafanuzi wa ushahidi katika hili jambo atusaidie tafadhali.
1 Samweli 17:50 inasema wazi kuwa Daudi ndiye aliyemuua Goliathi. Lakini...
Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi...
Kwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer...
Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa.
Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae...
Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa...
Wazanzibari vizuri kushukuru wakoloni waliotawala Zanzibar .Vivutio vya utalii viingiza pesa Zanzibar ni vya vya waarabu
Bila waarabu kutawala Zanzibar sasa hivi Zanzibar kingekuwa kisiwa maskini...
Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja?
Kweli Dogoli wa kufanywa Fala kwenye Jiji langu...
Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya...
NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 01/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Mtoto atahiriwe at least at age 4 na kuendelea. Sio chini ya hapo
Aliye upande wa kushoto ni David Reimer, na upande wa kulia ni Brenda Reimer — wote wawili ni mtu mmoja.
Mwaka 1966, baada ya...
Wadau,salamu wote.
Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER.
Wengi wa hawa watia nia...