UKAGUZI WA VYETI VYA UDEREVA ARUSHA NI KERO!
Kumezuka utaratibu wa ukaguzi wa madaraja E na C ambapo walio na madaraja hayo wanasumbuliwa hata wasipokuwa wanaendesha chombo husika (kwa mujibu wa sheria).
Mfano: Nina leseni inayo niruhusu kuendesha Trekta lakini pia inadaraja E
Sasa nikikutwa naelekea shambani; badala ya watunza sheria kuangalia Daraja husika ambalo ni la Trecta wao hubadilika na kusema niwape cheti cha Daraja E, na huishia kukomalia hadi uwatoe au wakuandikie faini ya shs 30,000.
Vivyo hivyo kama una leseni ya daraja C lakini inadaraja A, sasa umechukua pikipiki unaenda zako Shamba wakikukamata wanadai cheti cha Daraja C; na hapo kuokoka ni lazina utoe ya kufuta viatu au uandikiwe 30,000.
Naona haijakaa sawasawa kwani sheria imesema, mwenye hayo madaraja atakuwa amefanya kosa kama atakuwa anaendesha chombo cha hayo madaraja bila kuwa na cheti/kuhakikiwa.