Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kuendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imegawa jumla ya mitungi ya gesi ya kilogramu 15 pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na...
2 Reactions
1 Replies
269 Views
Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala...
2 Reactions
9 Replies
453 Views
Kama mdau wa utalii wanauza ndani sijawahi kuridhishwa wala kupatiwa majibu kuhusu inaitwa uwekezaji kwenye bandas za Mpanga Kipengere Game Reserve iliyopo Njombe. Nia ovu ilianza kipindi Mhe...
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani...
0 Reactions
10 Replies
694 Views
Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako: 1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule. 2️⃣Toa shuka...
16 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Uchambuzi wa kina 1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?" Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja...
13 Reactions
195 Replies
8K Views
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.” Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza...
0 Reactions
4 Replies
288 Views
𝗫𝗶𝗮𝗼𝗺𝗶 𝗯𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Anonymous
Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Julai 2, 2025: MSAFARA wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Fisadi anaweza kulala muda wowote anaoutaka, anaweza kulala mahali popote, anaweza kutembea hadharani muda wowote bila bughuza. Ila wazee wa NO REFORMS NO ELECTION lazima watembee kwa machale makali.
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Karibu jamii zote za wanyama utaona hili jambo la mama kumpenda sana mtoto wake. Ng'ombe, mbuzi, kuku, sokwe, binadamu nk nk. Ni kitu gani kinafanya wanyama wawapende watoto wao?
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati. Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua. Visingizio hivi...
14 Reactions
134 Replies
5K Views
Huwaga nachoka sana na michango ya harusi, sendoff na sherehe nyinginezo. Ahadi na Michango kwa ajii ya Harusi ya Bwana fulani inayotegemewa kufanyika tarehe xxxx Robert - 100,000 Wile - 200,000...
1 Reactions
5 Replies
352 Views
Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel ! Mimi ni mteja mzuri….. Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela. uaminifu muhimu
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom