Inachukua muda gani kupata leseni

Inachukua muda gani kupata leseni

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,883
Hi JF,

Hivi ukiomba leseni ya udereva inachua muda gani kwa mara ya kwanza?

Mwenye ujuzi please
 
Jisalimishe mwenyewe kituo cha polisi kilicho karibu yako. Kamuone VECO! Huyo atakupa ABC zote.

Ila ukitaka leseni za mchongo, watafute wale vishoka wa TRA.
 
Vishoka wanamaliza hio kazi ndani ya siku mbili tu unapata leseni yako safi yenye madaraja inayo yataka mwenyewe.
 
Nenda ofisi za TRA na 200k,ni chap kwa haraka wapata leseni ya udereva.
 
Back
Top Bottom