Elimu yako ndogo huwezi elewa mambo mazitoEti sijui munch wa jenny, mara sijui munch wa ana, ..blllllshhhtttt!!!
Alafu vijamaa vya namna hii unakuta ndio vile vivaa pensi fupi za mapajani kama vibinti vya buza
🤣🤣Taka taka ya kutupa kabisa mkuuNi vi peremende kabisa. Vimevaa vi pensi vifupi na vinaendesha vi baiskeli vyenye tu tairi twenye mzunguko kama wa mfuniko wa kopo dogo la rangi la lita nne!
Hivi vijamaa vinanikera sana tupaja tupo wazi wazi! Takataka!