Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Waungwana kwema? Naomba mtazamo na ushauri kuhusu suala la Mtanzania kwenda Sweden kucheki maisha mengine, kazi n.k Pia njia sahihi
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako...
15 Reactions
77 Replies
2K Views
Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni...
3 Reactions
81 Replies
3K Views
Au mpaka tuite press kama Gwajima? Toeni tamko kama mfumo mmefunga mazima tujue moja . Kama mnafungua pia semeni.. Mnapokaa kimya as if hakuna kinachoendelea ni dalili ya dharau.. Halafu NO...
4 Reactions
4 Replies
446 Views
Jamani huku mitaani hakupoi, kila kukicha hukosi nyumba yenye maandishi makubwa mekundu yenye lugha kali "HII NI MALI YA BANK INAUZWA". Jamani, watu labda hawana elimu ya mikopo ya Bank au...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti /...
14 Reactions
167 Replies
22K Views
Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka. Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana) Sasa...
17 Reactions
93 Replies
3K Views
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Fhamaz Trust imechangia matibabu kwa watoto 25 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa na wanaoendelea kupatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Habari yenu wanaJF Poleni na Majukumu ya kila siku, Leo nimekuja kusimulia mawili matatu nayopitia katika harakati zangu nishare nanyi ndugu zangu. Wanajf mimi Ni muhitimu wa BSc...
108 Reactions
195 Replies
22K Views
Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na...
2 Reactions
9 Replies
610 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, kupitia kwa Kamanda wake ACP Salim Morcase limekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kongowe alishirikiana na askari Mgambo kumkamata...
1 Reactions
0 Replies
469 Views
Marekani na Pakistani vita ilikua ya moto sana hii Baada ya Marekani kumchokoza Mpakistani Raisi alijuta kwanini aliua familia ya kiongozi mkuu wa Pakistani Movie yenye action Kali, vilio na...
1 Reactions
3 Replies
252 Views
Kutoboa kwa maana ya kujipata.. Ni umri upi sahihi? Faida zake ni zipi? Hasara zake ni zipi? Je una mifano hai? Karibuni kwa mjadala huru..!
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Daraja la Upongoji lililopo Kata ya Ndala, Manispaa ya Shinyanga katika Barabara ya kuelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ni dogo na Wananchi wengi tumekuwa tukilalamika kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Timu ya tathimini na udhibiti wa viashiria vya hatari ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza mafunzo ya siku tano ya kuainisha, kuchambua na kupendekeza njia za kukabiliana...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok ==== Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa...
1 Reactions
5 Replies
370 Views
Samia Suluhu Hassan alizaliwa tarehe 27 Januari 1960 katika kijiji cha Makunduchi, kilichopo Zanzibar. Alizaliwa katika familia ya walimu, baba yake akiwa mwalimu wa shule na mama yake mama wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkurugenzi Wa M-Pesa Vodacom Tanzania Epimack Mbeteni ( kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vivo Energy Mohamed Bougriba wakisaini hati ya makubaliano ya kukuza na kuongeza matumizi ya malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Back
Top Bottom