Habari ya muda huu wanajukwaa.
Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri...
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo...
( Nilikua na miaka kati ya 4-6) Ila kabla sijaanza SHULE ya msingi.
Tumelelewa na singo Maza kwahiyo alikua bize sana kupambania ugali wanae tusilale njaa. Alikua mjasiriamali kwahiyo muda...
Kumbe kwenye huu ulimwengu wa Galaxy Dunia ni moja wapo ya Sayari 1 kati ya sayari trilioni 3 zilizopo kwenye Galaxy Yetu.
Ukisikia neno 𝗚𝗮𝗹𝗮𝘅𝘆 𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮 𝘄𝗲𝗻𝗴𝗶 𝘄𝗮𝘁𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗻𝗶 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗧𝗼𝗸𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 lakini...
SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO💰
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu:
1. Wivu na Husuda: Wakati...
Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zako—wale mnaoshiriki damu moja—wakiamua...
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia...
Habari wadau mimi ni kijana wa 30+ nina mke na mtoto mmoja ni muajiriwa wa serikali .
Nilimaliza chuo mwaka 2015 ila nikaajiriwa 2021 kipindi namaliza chuo nilipitia wakati mgumu sana wa ukosefu...
Wakuu,
Kwa kawaida hata mtu mwenye miaka 90+ bado anatangaza nia ya uraisi na wananchi wanashangalia na anashinda kwa asilimia zaidi ya 70+ mbunge mwingine hata kusimama tuu ni changamoto
Lakini...
Baada ya Gwajima kukemea utekaji nadhani wote mmeona kilichotokea
Kwa akili ya vidudu haihitaji passport wala visa kujua nani aliekerwa na kauli ya gwajima
Mwizi hawezi kukasirika akisikia...
Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari...
Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana...
Kwa mwanaume ukifika age ya 25 mpaka 35 hiki kipindi ndio cha kujenga Empire yako, tafuta mwanamke size yako oa zaeni watoto jengeni familia yenye nguvu.
Ukishafika age ya 36 mpaka 45 hiki ndio...
Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel?
Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza...
Eneo la duka jipya mtaa wa Yangeyange kata ya Msongora kijiwe cha pikipiki kimekuwa genge la vijana kuuza na kuvuta bangi asubuhi mpaka usiku hadharani bila uoga.
Hiyo haitoshi wamekuwa wakikaba...
Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.
Ikabidi tuingie Google tukakutana na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza muda huu moto unawaka ktk hizo kotas
Baadhi ya sehemu ya jengo hilo ndio linaugua moto.
Updates.
Mali zote zimeonekana kuteketea katikaApartment namba...
Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema...
Sijui tunaelekea wapi mbona kila kitu cha Mama
==========
Chama cha Vinyozi Tanzania (TBU) leo kimezungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, kikitoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya.
Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.