Mwanangu,
Kwenye maisha, si kila mlango unahitaji kugongwa,
si kila siri unapaswa kuijua,
na si kila ukaribu una maana ya kwamba una ruhusa ya kuvuka mipaka.
Heshimu mipaka ya watu.
Kuna watu...
Jeshi la Polisi mkoani Singida lina washikilia watu wanne kwa makosa ya mauaji, likiwemo la mwanafunzi Abigael Emmanuel wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Mughamo Halmashauri ya Singida kukatwa...
Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri...
Tunakumbushana tu kwamba Askofu Gwajima amekuwa akitoa Huduma za Kiroho kwa Waumini wa Dini zote akiwa na Majengo zaidi ya 2000 ya kuabudia
Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na...
Miaka ya karibuni ni ukweli usiopingika JamiiForums ilianza kupoteza mvuto kwa watu kama sisi ambao tunapenda intellectual discussion tulikuwa tuna-miss sana hii mijadala
Kuna wakati mijadala hii...
Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa...
Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha...
Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto...
Nilikuwaga napenda sana kusoma vitabu lakini kiingereza chetu tulichokizoea shuleni na vyuoni bado kipo shallow sana, kila nikisoma kitabu nakutana na misamiati mipya, nilikuwa nachoka.
Siku hizi...
MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha...
Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Niko Morogoro kwa sasa, natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park.
Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku...
Kuwa sijui....
1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba
2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa
3. Mbwa akibweka sana Usiku...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11...
Kama ungependa kujua moja ya siri kubwa sana iliyofichwa katika historia ya Uislamu, fuatilia vizuri mada hii. Huenda ikakushangaza, na labda utakubali kuwa mambo mengine hayajawahi kuwekwa wazi...
Na kwanini ukitoka humo ndani (kama uliingia na Mwanamke) Wahudumu wakiona Nylons ni Kavu si tu Wanakucheka bali Wanakudharau mno?
ONYO
Kama unajijua huna Utani wa Kijadi na Kiutamaduni na...
WAZIRI DKT. NDUMBARO AONYA, "SHERIA HAZIENDI LIKIZO WAKATI WA UCHAGUZI"
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amewataka wadau wa siasa kutoa kipaumbele kwa sheria na utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.