Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amekuwa Wilayani Urambo katika ziara ya kikazi ya kimkakati ya kutembelea, kukagua na kujionea maendeleo ya Kazi ya Utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 kwa Miji...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Kampuni ya INFINIX imeachia toleo jipya la simu aina ya INFINIX HOT 60 SERIES' lakini cha kuvutia zaidi ni kuhusu hii "INFINIX HOT 60 Pro Plus. Hii ni simu nzuri balaa, unajua kwanini, 📲 Kwanza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huko Uturuki Kuna mto uliojipindapinda unaoitwa mto meander. Kutokana na mto huu kujipindapinda mito ndiyo kukaitwa meandering.
3 Reactions
13 Replies
638 Views
Kwa mkazi wa Kigamboni ambaye una ratiba ya kwenda mjini nakushauri tu pitia darajani kwa leo
6 Reactions
60 Replies
3K Views
My Take Hii imfikie Bashe, Serikali na wadau wote wa Kilimo. Nimewahi andika mara kadhaa kwamba Serikali inapaswa kuimarisha masoko ya mazao Kwa kufanya jitihadi mbalimbali zikiwemo kuondoa Kodi...
0 Reactions
3 Replies
213 Views
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps. Ama nilipie...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba kuuliza iv mtu akistaafu anaruhusiwa kurudishwa kazi... Aku kupewa kitengo kingine?
1 Reactions
7 Replies
526 Views
Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Nakupa pole. Jikaze kama wengine wanavyojikaza. FIKIRIA MKE WA MDUDE AKIONA DAMU YA MUMEWE NA KUSHUHUDIA "AKIUAWA"
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5...
18 Reactions
124 Replies
3K Views
Kwa hii nchi ilivyo sasa inahitaji moyo wa Kizalendo sana mbele za watu wenye akili kusema wewe ni Mtanzania. Watakuuliza maswali ya kuudhi sana. Kuna watu wananiuliza je nmekuja nchini kwao...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
>>KIFO CHA JOHN F KENNEDY>>> Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na...
0 Reactions
1 Replies
417 Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani. Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana. kwani; 1. Watu...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Taarifa za kifo cha mtangazaji mwenzetu Mohammed Dahman, aliyeaga dunia siku ya Ijumaa (02.08.2019) mjini Cologne, magharibi mwa Ujerumani, zimeishtua timu nzima ya Idhaa ya Kiswahili ya DW mjini...
17 Reactions
58 Replies
11K Views
KALAMU YA NEWTON Siku moja wakiwa darasani, mwalimu aliwaambia wachore picha ya kitu wanachokipenda zaidi. Wengi walichora magari ya farasi, wengine wanyama kama mbwa au farasi, na wengine...
1 Reactions
2 Replies
295 Views
Hapo mwanzo nilidhani mhimili wa bunge ndio mbovu kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kama asemavyo CAG mstaafu kuwa bunge letu ni dhaifu, taarifa za CAG kila mwaka zinathibitisha kuwa...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Sasa hivi Mbeya ni kama serikali iko likizo kwa jinsi wafanyabiashara wanavyopora wakulima mchana kweupe. Ukiangalia Lumbesa ya gunia la viazi huwezi kubisha kwamba mkulima hapati chochote...
1 Reactions
22 Replies
825 Views
1.Ni watu weusi ndio tulikuwa tunauza ndugu zetu utumwani,siyo waarabu. Ni watu weusi ndio tunauuana hovyo hovyo kwenye bara hili la Africa. Ndio tunaoongoza kwa uvivu na ulaghai . Ndio tunaona...
1 Reactions
2 Replies
289 Views
Back
Top Bottom