Wakati naomba Mungu wa kweli anifunulie na kunisaidia kuelewa Biblia, basi naomba wakristo wa JF walio jaa roho mtakatifu kunielezea haya bila kuongeza maneno yako na dhana fuata maandiko ya...
Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu...
NITATUMIA ALIYOYASEMA GWAJIMA PIA..
Kwa takwimu zao wenyewe, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinasema kimefanikiwa kuwasajili wanachama zaidi ya milioni 10 kote nchini. Hii si idadi ndogo. Hii ni jeshi...
Mfanyakazi ana uhakika kesho nitapata anatumia yote, mfanyabiashara kisa senti kwake inatoka kwa hesabu ili asiue mtaji.
Mfanyabiashara huwaza zaidi kuzidi kuwekeza mfanyakazi huwa zaidi kutumia.
Ekari 614 za mashamba ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ushoroba ulio kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere.
Kuteketezwa...
Zaidi ya Tsh. Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi ya Wanawake, watoto na wenye ulemavu
Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo
ya 10% iliyotolewa na halmashauri...
1. Kufanya wafanye kazi kwa weredi na ustadi wa Hali ya juu sana
2. Kutoka kuendesha na kutumika na wanasiasi kwenye mambo ya siasi kisa njaa na familia zao.
3. Kuwafanya wafanye kazi zao bila...
Leo 14/07/2025 wanafunzi wa darasa la tatu wanaosoma shule ya msingi Goba Mpakani iliyoko Dar es Salaam ambao jumamosi ya 12/07/2025 hawakwenda tuisheni wamechapwa fimbo na walimu wao. Mwalimu...
"Because God sending him self to sacrifice him self to him self to save us from him self" its abit hard for any logical person to understand.
Mungu kujituma yeye mwenyewe kujitoa kafara kwa ajili...
Kichwa cha kitabu “Kusulubiwa kwa Kweli” hakihusiani moja kwa moja na Yesu — bali kinamaanisha kwamba "ukweli wenyewe" umesulubiwa na Kanisa la taasisi.
Rev. Bishop Cardinal Bob Burns
“Taarifa...
Habari wapendwa,
Kuna raia mtaani nimewasikia wakisema "wakiungana na kuanzisha chama watashinda"
Napenda kusema,watu hao hawajielewi na wapo katika kundi la "intellectual impairment" kwa sababu...
Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
Duniani hakuna cha bure wadau kuna hao viongozi kutwa wapo majukwaani kutwa kulaumu chama tawala dhidi ya maisha duni huku wai wakiwa ni wenye kuneemeka kwenye mfumo huo mbovu wanaouongelea...
Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za...
Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba
Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya...
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa mda huu ambao natural satellite bado hazijaanza kutumika ni vizuri tukaanza kuzalisha na kuuza natural satellite zenye uwezo mkubwa sana
Ni kweli kuna uzi nilisema...
Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%.
Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini...
Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.