Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu. Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi. Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu Kuna kijiji kimoja cha kale, kilichozungukwa na misitu yenye giza na miamba mikubwa. Kijiji hicho kiliitwa Kizingo. Watu wa Kizingo walijulikana kwa kutunza nyuki waliotoa asali tamu...
1 Reactions
0 Replies
316 Views
Hii ni historia fupi ya ujasusi wa Kiyahudi toka nyakati za kale hadi mauaji ya Mtume wa Uislamu Wayahudi, kama taifa lililopitia mateso na vita kwa karne nyingi, wamejijengea hifadhi kupitia...
50 Reactions
338 Replies
11K Views
Jiwe linaloabudiwa huko Mecca linajulikana kama Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi). Jiwe hili lipo kwenye pembe ya mashariki ya Kaaba, Kaaba ni jengo la pembe nne lenye shuka jeusi na juu...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani. Au fungeni ndoa nyumbani kwa...
66 Reactions
275 Replies
8K Views
Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Habarini wana JF, Nimeazima simu ya jamaa hapa nitoe ushuhuda Nina miaka 27 nilizaliwa familia sio kama za kina Bakresa ila yatosha kusema pesa ilikuwepo. Wazazi wangu hususani baba yangu...
342 Reactions
846 Replies
131K Views
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata jumla ya watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na wizi na utapeli wa kimtandao unaojulikana kwa jina la “Halo Halo”, kufuatia operesheni maalum...
0 Reactions
5 Replies
937 Views
Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuanzia wiki hii Kuna Mabadiliko mapya yamejitokeza kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram ulimwenguni kote, ambapo post zote unazo post kwenye Akaunti yako kupitia Instagram zitaweza kuonekana...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Wanabodi, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewaagiza waandishi wote waliotangaza kugombea nafasi za kisiasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kusitisha mara moja shughuli zao za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali wilayani Kibondo, Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi...
0 Reactions
3 Replies
293 Views
Awamu ya sita imekuwa vurugu mechi; Ile dhana ya utawala bora Haionekani hata kwenye mambo madogomadogo kama haya! Hivi inawezekanaje Barabara zote zijengwe kwa mpigo pasipo mpangilio? Yaani...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
KATORO (Mji) ni mkusanyiko wa kata tano (5) ndo zinaunda mji tunaoita katoro. Kata hizo ni kata ya Katoro, kata ya Buseresere, kata ya Ludete, kata ya Butengolumasa na kata ya Ibondo. Huku mji...
15 Reactions
76 Replies
13K Views
Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa. Wakati maisha ya kila...
4 Reactions
10 Replies
850 Views
Michango ya harusi imekuwa mzigo kwa familia na wachangiaji. Ingawa ni desturi ya kijamii kutoa michango katika matukio haya, ni naona lazima kutafakari kama michango hii inasaidia kweli familia...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Ikiwa Mungu ni Mwenyezi, Mjuzi wa yote na aliyeumba ulimwengu wote na watu wa kila taifa, basi anapaswa kujua lugha zoteza wanadamu na hata za mioyo (mawazo, nia na hisia). Hakuna lugha...
1 Reactions
19 Replies
957 Views
YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡 Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume, Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike. Hawa...
15 Reactions
103 Replies
3K Views
'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu...
4 Reactions
3 Replies
818 Views
Back
Top Bottom