Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya...
1 Reactions
5 Replies
137 Views
1: Wamiliki wanapaswa kufosiwa kuuza timu maana kwa miaka 9 walitumika katika kufanya utapeli. 2; Kuvuliwa mataji yote walio shinda na kupewa timu zilizo kuwa nyuma yao au kushindana nazo katika...
2 Reactions
3 Replies
146 Views
Hello Wadau, Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili. Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu...
5 Reactions
18 Replies
248 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Yeap .. mlima unawaka sahivi Sasa brother rubani kaamua acha abiria wajionee live
1 Reactions
0 Replies
105 Views
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Singida, Dkt. Godfrey Andrew ameeleza kuwa Halmashauri ya Manispaa hiyo imetenga fedha kiasi cha Tsh. Milioni 800 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya maboresho ya...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita...
1 Reactions
0 Replies
76 Views
Mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na...
0 Reactions
8 Replies
82 Views
Yani leo Moshi ukiwa kule town centre jua linapiga vibaya mno ila ukianza kuingia tu Shanti town hali ya hewa inabadilika Faida za kupanda miti mingi maeneo ya mijini na kupangilia mji vizuri ndio...
12 Reactions
28 Replies
321 Views
Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Nilikua bongo bar moja nakula pombe zangu , mara paa likaibuka tukunyema , matumbo na tako lipo , nikalinunulia pombe na nyama 🤔 Nikarudi hapo redstone zaidi na zaidi kwa sababu nilikua...
11 Reactions
43 Replies
608 Views
Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Kuna clip moja nimeliona na umenipa matumaini kumbe kwenye taifa hili lenye wanawake walio oza kimaadili bado wapo(bado yupo, maana ni one in a thousand) Kila siku nimekuwa mstari wa Mbele katika...
1 Reactions
8 Replies
147 Views
Hapo zamani za kale nilikuwa na Toyota Stout....nilikuwa nabeba mizigo ya hapa na pale katika kutafuta riziki. Huku na kule nikaanza kupiga trip za night kwa nigh....t chaka kwa chaka,,sababu ma...
8 Reactions
17 Replies
345 Views
Nimewasikiliza madereva wakitoa malalamiko yao lakini baadhi ya malalamiko yao hayana maana. 1.Nimesikia wanalalamika kuhusu ku-overtake sababu barabara zetu sio nzuri..kama barabara unatambua...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Ilikuwa ni saa kumi na robo alfajiri ya leo, mlio wa simu yangu unanikurupusha toka usingizini, nakumbuka nina appointment ya kumfuata bibi yangu nyumbani alikokuwa amefikia na kumpeleka Ubungo...
54 Reactions
170 Replies
46K Views
Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani. Mtume huyo, ambaye ni...
1 Reactions
35 Replies
657 Views
☰ بسم الله الرحمن الرحيم Shukrani zote anastahiki Allah mola mlezi wa walimwengu wote Sala na salaam zimwendee Mtume wetu Muhammad- swalla llaahu alayhi wasallam- na jamaa zake na Maswahaba...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Hellow Great Thinker... Hivi ipi ni sahihi kati ya kusema toka nje au toka ndani, kama mtoto yumo ndani.... watalamu wa kiswahili karibuuuni
1 Reactions
3 Replies
77 Views
Back
Top Bottom