Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga(Mb), Leo Oktoba 3, 2026, amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa nchini bi Tahya au...
Hivi kumshikilia jela miaka 50 mtu unaemdai shilingi milioni moja tu, ilihali huyo mtu ukimwachia huru uraiani anapotential ya kuingiza hiyo pesa kwa wiki 1 tu na akakulipa yote, ni matumizi ya...
Sekta ya utalii inatarajiwa kunufaika na ujio wa wajumbe wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, huku imeelezwa...
Tunafahamu fika spare parts nyingi za magari aina mbalimbali zinatengenezwa china kwa asilimia kubwa sana
NIKIWA RAIS WA TANZANIA SPARE PARTS ZA MAGARI AINA ZOTE ZITAKUWA ZINAZALISHWA HAPA...
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.
Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama...
Leo ni miezi mitatu tangu nilipoamua kuacha betting.
Believe me, nimejifunza mengi sana kwenye safari hii. Betting ilinifanya nipoteze pesa, muda na vitu ambavyo nilipaswa kutumia kujijenga...
Ilikuwa ni siku ya graduation kumaliza kidato cha nne siku hiyo mvua ilikuwa na inanyesha vibaya mno wenye wapenzi wao walikuwa wamekumbatiana huko bwaloni huku mziki ukigonga watu hawaelewi, sisi...
Aisee
Jua kali sana upande wangu mjini DASILAM
Nilisita kusgn dili la kutimkia huko duniani canada kwa makubaliano mkataba wa kazi ungeisha ningekuwa huru kujipambania na kuangaikia...
Habari wana jamii.
Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam.
Taarifa...
Eti kwenu huko hali ikoje? Dudubaya kawashauri nini?
Huku kwetu machokonoko ni kibao, ila wanakufa tu mapema sana na hawana maisha kabisa, sometimes wanafilimbwa ilinwapate tu hela ya chips yai...
Habari zenu Wakubwa?
Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni...
Kwa sasa TBS imekuwa ni mzigo na imekuwa ikizalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa nchini (IMPORTER).
Mfumo wao wa utendaji umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi...
🚨 Breaking News 😳💔💔
50 Cent says marriage is the worst contract a man can sign — “it’s a bad deal!” 😳
50 Cent recently made it clear that he views marriage as a “bad contract” — and he’s urging...
Watu hawawezi kuamka asubuhi tu na kuanza kushangilia kifo chako, halafu wasio na akili wanasema chuki dhidi ya mtu mwenye pesa bila kuujua ukweli. Watu wakae wakijua hii ishu nzito sana.
Wale...
Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu
Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika...
Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,.
Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini...
Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya.
Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.
Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.