Huduma ya usafiri imerejea kama kawaida

Huduma ya usafiri imerejea kama kawaida

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
919
Reaction score
794
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oystebay jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine, Viongozi wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida huku Serikali ikiwa tayari kusikiliza na kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva.
ChatGPT Image Sep 30, 2026, 03_57_23 PM.png
 
Dereva hatakiwi kusumbuliwa kwa namna yoyote maana akiwa ba msongo wa mawazo atasababisha ajali kwa kukosa umakini,mbona wabunge stahiki zao zikiguswa wanalalamika pamoja na kulipwa vizuri
 
Back
Top Bottom