RITA, Huduma Zafungwa Kisa "Kunyonyesha"

huskryderz

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
29
Reaction score
34
Hello Wadau,

Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.

Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.

Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”

Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:

“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”

Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?

Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔

Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
 
Imagine, cheti kimetolewa na RITA miaka kadhaa nyuma leo wanasema cheti sio sahihi kuwa Invalid, wanataka ufanye maombi ya cheti upya badala ya wao kufanya update ya taarifa za wateja na kuwapatia cheti kipya, nadhani RITA kuna changamoto kubwa sana inatakuwa kuwa addressed na hii ni moja ya Ofisi za serikali zenye matatizo makubwa sana!
1790766189937.png
 
Nadhani kuna umuhimu wakuwepo na sera ya kuajiri watumishi wengi ili wagawane huo mshahara mdogo mdogo ili ofisi iwe na watu wengi, na muda wote watoa huduma wawepo.
Mfano: kuliko mtumishi mmoja kwenye ofisi alipwe milioni 1, wawepo watumishi 4 kwenye hiyo ofisi wagawane laki 2 na nusu.
Hii itasaidia ofisi kuwa na watu, pamoja na kuingia kwa shifti.​
 
Hello Wadau,

Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.

Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.

Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”

Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:

“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”

Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?

Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔

Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
 
Attachments

  • 4F00FD20-C1CB-41F3-8299-38E704D08E9C.jpeg
    4F00FD20-C1CB-41F3-8299-38E704D08E9C.jpeg
    213.2 KB · Views: 3

Unaonekanq wewe ni mgeni sanq kwenye taasisi za serikali. Yote ya yote tunashkuru sana kwa mambo kuhamia mtandaoni bila ya hivyo tungeteseka sana na masijala. Ifike muda hata vyeti vya physical visitolewe tena viwe ni digital copy tu.
 
Sasa wewe unataka nini ? Umeambiwa watoa huduma ni wazazi na wameenda kunyonyesha ? Una. Cha kuwafanya ?

Hii tz kila mtu ana misuli kubabake, wewe ingia tu kwenye 18 za mtu au za ofisini kwake na agundue una shida umekwama
 
Hello Wadau,

Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.

Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.

Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”

Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:

“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”

Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?

Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔

Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
Mbona umeficha RITA ofisi gani?.Makao makuu, mkoa/Wilaya gani?..
 
Imagine, cheti kimetolewa na RITA miaka kadhaa nyuma leo wanasema cheti sio sahihi kuwa Invalid, wanataka ufanye maombi ya cheti upya badala ya wao kufanya update ya taarifa za wateja na kuwapatia cheti kipya, nadhani RITA kuna changamoto kubwa sana inatakuwa kuwa addressed na hii ni moja ya Ofisi za serikali zenye matatizo makubwa sana!
View attachment 3681048
Halafu wote wagalatia wenzetu.😢

Makebo hydroxo Tanganian
 
Hello Wadau,

Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.

Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.

Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”

Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:

“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”

Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?

Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔

Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
Mkiambiwa wanawake ni shida serikalini mnabisha
 
Inaruhusiwa kwa mujibu wa Sheria za kazi za Tanzania. Sema changamoto ni umbali tu.
Mtu hawezi Toka RITA kama ni Dar aende Bunju kunyonyesha Kisha arudi huo utakuwa uongo
 
Ni sheria ya hiyo ipo mtu mwenye mtoto mdogo ana fanya kazi nusu siku anaenda kunyonyesha, hicho sio cha kulalamika sababu ni haki ya mtumishi,

Cha kalalamika kwanini hawajapata mbadala wa masaa yaliyo baki Ili ofisi isibaki wazi ?
 
Back
Top Bottom