Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye kuzichezea siasa za Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran)...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda...
3 Reactions
16 Replies
877 Views
Aisha Ali hakupewa mtaji wa milioni, hakurithi duka wala biashara wala hakujaliwa bahati isiyo na jasho alianza tu na jiko la mkaa, unga kidogo, mafuta na hiriki ila leo hii vitumbua alivyoanza...
7 Reactions
20 Replies
982 Views
Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Isa 31:3 SUV [3] Basi Wamisri ni wanadamu wala si Mungu, na farasi zao ni nyama wala si roho; na BWANA atakaponyosha mkono wake, yeye asaidiaye atajikwaa, na yeye asaidiwaye ataanguka, nao wote...
3 Reactions
3 Replies
303 Views
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye. Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Sijui ni kuathiriwa na malezi au tabia tu. Mimi najua kuomba au kutarajia msaada huwa ni hatua ya mwisho sana. Kuna baadhi ya watu hudhani msaada ni haki yao. Na matokeo yake ni yafuatayo. Kuwa...
4 Reactions
5 Replies
411 Views
Msaidizi wa Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Hotuba, Dkt. Cosmas Mwaisobwa (kushoto), amekabidhiwa rasmi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) na Bodi ya Ithibati ya Waandishi...
0 Reactions
4 Replies
370 Views
Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Kombo Khamis Kombo amezungumza na Wanahabari na kuwaleza kuwa katika mchakato wa kesi ya mauaji inayoendelea katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kuhusu mauaji ya Sheikh...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa haya ndio majiji makubwa nchini, kwa Mwanza suala la kumjali mteja ktk sekta ya ulaji ni ziro kama sio chini ya ziro. Mfano mama ntilie... Dar... .wako shapushapu... .Wanamthamini...
14 Reactions
57 Replies
10K Views
Jamani nyie mama ntilie wa Dar hebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije Dar sijawahi kushiba. Hebu waigeni mama ntilie wenzenu wa...
16 Reactions
71 Replies
6K Views
habari za leo I hope nyoote hamjambo. wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha...
20 Reactions
107 Replies
10K Views
Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Hivi unajua Sasa hivi mazungumzo unayoyafanya na program ya chatGpt ambayo ni binafsi utaweza kuyakuta kwenye mtandao wa Google. Wiki moja iliyopita watu wengi walianza kushangaa kuona Kuna njia...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi!, halafu kuna hadaa na kuhadaiwa!. Hadaa ni pale wewe mwenyewe unakuwa mchovu wakufatilia mambo kiundani ili ujue ukweli halafu ndo uchague upande...
3 Reactions
8 Replies
398 Views
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa...
6 Reactions
18 Replies
898 Views
Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Mm ni kijana wa 96 hivi lakini watu wengi huniona na kunikadiria mm kama kijana wa 80.
22 Reactions
80 Replies
3K Views
KESI ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha inazidi kuchukua sura mpya, baada ya mashahidi aliowaleta mahakamani hapo kutoa ushahidi kuleta vioja. Vioja hivyo vilitolewa na...
0 Reactions
42 Replies
17K Views
Uchawi wa Nuru au Mwanga ni aina ya nguvu ya kiroho au uchawi unaotumia mionzi ya mwanga safi, nuru ya kiungu, au nguvu ya chanzo cha uhai (Mungu, Chanzo, Au Nguvu ya Ulimwengu) kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
988 Views
Back
Top Bottom