Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali na TANROAD mkoa wa Mara hii barabara ni kero na inasababisha ajali na kupoteza maisha ya watu Mashimo mengi na kila mtumiaji wa chombo cha Moto anakwepa mashimo na kusababisha ajali
1 Reactions
5 Replies
347 Views
Kuanzishwa kwa fursa za ajira ni mojawapo ya njia bora zaidi za kupambana na umaskini na kukuza ustawi. Ajira zinasaidia nchi kujenga uchumi unaojitegemea na nguvu ya kazi yenye ufanisi. Pia...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya...
7 Reactions
5 Replies
807 Views
Wakuu hongereni kwa majukumu Kijana mwenzenu hapa Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje Maana shule inaitwa Paulo Jones Sekondary S chool, naomba mwenyeji wa huko...
4 Reactions
65 Replies
3K Views
JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa. Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Barua hii inajieleza yenyewe.
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wajuzi wa hili jambo njooni mtufafanulie. Kwishaaaaaaa
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene, pamoja na mpiga picha wa zamani wa Rais, Ikulu, Fredrick Maro, wamekabidhiwa rasmi...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa, ila wanachokifanya SUMA JKT ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja mabeg yenye faragha za kinamama. Wakati...
3 Reactions
14 Replies
829 Views
Pallywood Wanatunga stori kuwa gaza kuna njaa kumbe ni movie kama zile bongo muvi za jini kupiga chafya kutokana mapoda mengi aliopaka usoni. Njaa ya kweli ipo sudani lakini dunia imefungia...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni...
16 Reactions
47 Replies
2K Views
Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Hali ya vyoo kwenye maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Dodoma ni changamoto, huduma ya maji ni changamoto na kuna vyoo vichache kulingana na wingi wa Watu wanaofika eneo hilo. Kwa tukio kubwa la...
3 Reactions
7 Replies
717 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter *******, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha...
0 Reactions
5 Replies
418 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi watatakiwa kulipia dhamana ya dola za Kimarekani 5000 hadi 15,000 (USD5,000 - 15,000) ili kuruhusiwa kuingia nchini...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Watu watano wahajulikani walipo baada ya mashua waliokuwa wakisafiria kutoka Pemba kuelekea Unguja, kupigwa na dhuruba na kisha kuzama. Wananchi katika eneo la Mwambe Wilaya ya Mkoani, Kisiwani...
0 Reactions
2 Replies
253 Views
Mchezaji mpya wa Manchester United na Timu ya taifa ya ufaransa mwenye asili ya Cameroon Bryan Mbeumo muonekano wake miaka 6 iliyopita 2019.👇🏿 Mbeumo mwenye umri wa mwaka 26 kwasasa anafanana...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024; Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti. Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle...
4 Reactions
9 Replies
546 Views
Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom