Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa,
Sasa nauliza tiba yake huwa...
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea...
1: CNN
- Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.
- Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja...
Serikali imewahakikishia Wakulima na Wafugaji usalama katika shughuli zao za uzalishaji huku ikiwataka kushirikiana na Vyombo vya Usalama ili kuepuka wizi, utapeli hali itakayopelekea kufikia...
Kumekuwepo na migogoro ya ardhi ambayo inatokana na wananchi kununua maeneo ambayo yameuzwa kwa watu wengine, kuuziwa maeneo yaliyotengwa kwa shughuli maalum (open spaces). Hali hii inatokana na...
Je ni kweli kwa taarifa hizi Demekrasia itaenda kuwakomboa masikini wa Uganda. Neno demokrasia, ugaidi, haki za mashoga nk, huwa kipaumbele cha kuwanyanyasa nchi duni na zinazoweza ingilika...
Katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umegawa majiko na mitungi ya gesi kwa Maofisa na Askari wa Jeshi la Magereza katika...
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Nyangassa amefurahishwa na hamasa inayofanywa na Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambayo imechangia upatikanaji wa wakulima zaidi ya 15 wenye takribani ekari 240 za...
Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 277 kila mwaka kwa ajili ya kugharamia huduma mbalimbali za Virusi Vya UKIMWI (VVU) na UKIMWI nchini, ikiwa ni hatua ya kupunguza utegemezi kwa...
Viumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu.
Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa...
Nilikuwa nafikiria hii kitu sababu ya kesi inayoendelea ya mchongo ya Lissu. Ila nikajiuliza kwa nini magereza wanajipa majukumu ya mahakama wakati sio ofisi zao.
Ukiangalia kazi ya askari...
Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿
CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa...
Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona.
Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .
ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.