Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ifike hatua wananchi tusimame imara tukombea taifa kutoka mikononi mwa fisi mla watu. Hata wana CCM tuungane kwenye nrne kwa sababu kama inadaiwa wagombea wanatumia rushwa je, inawezekanaje aende...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri...
2 Reactions
4 Replies
311 Views
Serikali ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliangalie hili la Ukosefu wa taa za usiku barabara ya bahi road kipande cha machinga complex mpaka 4ways ni hatari sana kwa watumia vyombo vya moto na...
1 Reactions
1 Replies
230 Views
Naona wazi wazi mzabzab akinunua hii ice cream kila muda na anajua kwa nini🤣🤣
3 Reactions
9 Replies
464 Views
Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa. Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya...
1 Reactions
1 Replies
509 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limemsitishia huduma ya umeme Askari wa jeshi la Polisi anayeishi kwenye moja ya nyumba za jeshi hilo za Oysterbay jijini Dar es Salaam, baada ya kubaini...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Serikali imejenga na kukarabati zaidi ya masoko 50 na maghala 360 ya kuhifadhi mazao. Vilevile, imeanzisha vituo zaidi ya 30 vya huduma za pamoja (One Stop Centers) vinavyotoa pembejeo, ushauri...
1 Reactions
2 Replies
336 Views
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)? Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Isa 29:15 SUV [15] Ole wao wanaojitahidi kumficha BWANA mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye? Kuna watu wanafanya vitendo viovu kwa siri...
5 Reactions
38 Replies
971 Views
Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Je, unafahamu uchelewaji wako kutasababisha historia mbaya ya CRB? Epuka historia mbaya ya mikopo lipa leo Tsh 800000. Kulipa piga *150*01#>7>4>3 au Mixx by Yas app
0 Reactions
8 Replies
395 Views
Hii itasaidia kupima uwezo wa akili na hekima kati ya wabunge wasomi na wabunge wasiosoma. Zingatia elimu siyo hekima ya uongozi
2 Reactions
3 Replies
229 Views
Kabla ya maendelea makubwa ya Teknolojia hivi ndivyo Tulipotoka Miaka hiyo ambapo unachokiona ni kifaa cha kusikiliza Sauti , kinajulikana kama kitafuta sauti au acostic mirror 🪞 kilikua...
3 Reactions
5 Replies
436 Views
Mtiania wa nafasi ya Ubunge jimbo la Chato Kaskazini Cosmas Makongo apinga matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika siku ya Jana Agost 4 2025, katika jimbo la Chato Kaskazini, adai...
1 Reactions
3 Replies
565 Views
Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa...
1 Reactions
4 Replies
700 Views
Back
Top Bottom