MWAKA Fulani NIKIWA musoma mjini masomoni, NILIKUA ni MTU WA starehe sana japo sikua na HELA. Yes nilipenda starehe lakini PESA kipengele. SIKU KUBALI kushindwa kula Bata JAPO SINA PESA ILI bidi...
Kauli hii inaangazia hoja nyeti na muhimu sana kuhusu mwelekeo wa taifa katika kulinda umoja wa kitaifa na misingi ya katiba. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nchi haina...
Wakuu,
Juzi nimewekewa hela kwene akaunti cha ajabu kwene salio haikuonesha kuongezeka…..
Aliyeniwekea nikamwambia mi sijaona akajibu amepewa na risiti nikamwambia uongo huo akarudi kwa wakala...
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia na bibi yao kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi katika Mtaa wa Bulola ‘A’, Kata ya Buswelu, wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
Soma pia:
Tukio hilo...
Kuna matatizo mengine watu wanakutana nayo ktk maisha yao sio mpango wa Mungu ila kuna mahala walimfungulia shetani mlango walimruhusu akapita kupitia matendo yao yasiofaa , "
Kumbuka wapi...
Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya
1. Wanaolewa bila...
My Take
Uchumi unafunguka sera za mama kufungua Nchi zinajibu.
Hadi kufunga mwaka itakuwa balaa maana Ongezeko la salary limefanya Watumishi wengi sana wakope.
=================
Tanzania’s...
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.
Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.
Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye...
Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo.
BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15
Ndio maana ameahidi...
Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu...
Kwa sasa, hii nchi yetu ya umoja ni nguvu haina ladha tena kwenye mambo mengine.
kwa mimi binafsi sasa labda habari za soka pekee kwa hapa kisiwa cha AMANI
Zilizobaki zote naona siwezi kufatilia...
Imepita miaka mitatu tangu kifo cha Rais wa Tanzania John Magufuli na kupanda madarakani kwa Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan.
Magufuli alikuwa rais wa tano wa Tanzania. Alishika madaraka mwaka...
Utafiti mpya uliofanywa kwa ushirikiano kati yangu na Daniel Stockemer kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, uliotolewa katika jarida la Political Psychology, umeonesha kuwa umri ni miongoni mwa vihisishi...
Habari.
Niko kisiwa cha mafia, kutokana na zao kuu kisiwa hiki kuwa ni nazi. Nazi zikishabanguliwa "kuvuliwa ganda la nje, mara nyingi haya maganda hutupwa na kuchomwa moto.
Natafuta mashine ya...
Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa
Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye...
Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi
Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge...
Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025.
https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
Hivi nini chanzo cha makabila na nini chanzo cha hizo lugha za makabila nimekaa chini nimetafakari ila nimeshindwa kupata jibu wajuzi wa mambo naomba mnisaidie aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.