Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama una nafasi inayokupa manufaa mazuri sanaa, aisee shikilia kwa unyenyekevu, uvumilivu na uangalifu. Maam upande wa pili joto ni kali sanaa
1 Reactions
0 Replies
196 Views
Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini? Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa...
14 Reactions
156 Replies
4K Views
Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm...
4 Reactions
18 Replies
723 Views
"Samahani, nilikwisha kukuambia kwamba nitakudanganya," kisha akakukabidhi Biblia na kukuomba usome Warumi 3:7: “Lakini ikiwa kwa uongo wangu kweli ya Mungu imezidi kudhihirika kwa utukufu wake...
3 Reactions
17 Replies
573 Views
Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja...
1 Reactions
7 Replies
709 Views
  • Closed
hamis77 ni baadhi ya great thinkers wachache waliobaki JF Endelea kushusha nondo ndugu Kama vile hapo chini naona comments za "unajipongeza mwenyewe"😂😂😂
13 Reactions
128 Replies
4K Views
Hii imetokea Kenya Count ndogo ya Awendo.Majirani zetu watani zetu na ndugu zetu mnaojinasibisha mnajua sana kingereza kuliko sisi mnakwama wapi. Issue kama hii huwezi ikuta Tanzania Kugombea...
0 Reactions
2 Replies
296 Views
Jana nilikutana na rafiki yangu wa karibu sana wakati tunabadilishana mawazo kuhusu maisha akanishirikisha jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Rafiki yangu ana dada yake ambaye ni mkurugenzi...
3 Reactions
12 Replies
785 Views
Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini, Ni wazi watumishi ndiyo wananufaika kwa bima ya afya hasa ukizingatia wao huchangia kwa kukatwa kwa 3% na kuchangiwa 3% na mwajiri. Sasa kwanini serikali isianzishe utaratibu wa...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Kuishiwa na KUWA ombaomba sio mpango wa Mungu KWA MKRISTO. Kwa hiyo huwezi kujisifia kuishiwa, mbango wa Mungu ni watu wasiwe tegemezi kiuchumi KWA wateja wao ( wasiomuamini Mungu). Msisitizo...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na...
2 Reactions
0 Replies
435 Views
Naomba kuuliza ili hapa JF. Na kama ukiwa tajiri, mfanyabiashara, muhuni, maskini na n.k wanataka kujua hata kutumiwa watu wajue ili tu wajuwe watu wao. Leo nipo kwenye biashara zangu natonywa na...
0 Reactions
4 Replies
268 Views
Sasa unajiuliza hizi pesa ambazao IRGC na muslim brotherhood wanazo sambaazaa kwa wahuthi na vikundi vingin ili kuwachinja wayahudi na wakristo kwa nini wasiwekezee katika jamii yao kuikomboa...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Wengi wetu ambao ni wapenzi wa vipindi vya radio tutakuwa tunamfahamu DJ Fetty ambaye alianza kazi ya utangazaji muda mrefu katika stesheni ya Radio Ya Mawingu (Clouds FM). Alikuwa nguli wa...
13 Reactions
57 Replies
5K Views
Hii myth huwa inapendwa kurudiwa sana hasa na tabaka tawala lakini haina ukweli au uhalisia wowote.
1 Reactions
0 Replies
98 Views
1.Ngome SACCOS - Bilioni 150.84 2. URA SACCOS – Bilioni 136.43 3. TRA SACCOS- Bilioni 88.64 4. TANESCO SACCOS- Bilioni 71.53 5. ELCT ND SACCOS- Bilioni30.35 6. TPS SACCOS- Bilioni 30.09 7...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Sirari, Tarime – Mara Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Watafiti wamegundua jamii ya chura Toka nchi za Ulaya uwa wanatumia mbinu za aina Tatu kuepukana kufanya mapenzi na Chura wa kiume ambaye hajampenda, wanaweza kujifanya amekufa, wanageuza mgongo...
2 Reactions
19 Replies
834 Views
Back
Top Bottom