Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa. Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka. Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu...
1 Reactions
0 Replies
158 Views
Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni...
1 Reactions
7 Replies
764 Views
Kwanza niwaambie, sisi Gen Z hatuna cha kupoteza na tuko tayari kufanya chochote ili tuingize pesa. Hiki kizazi chetu ni kizazi cha kufa na kupona, yaani afe kipa au beki lazima ushindi upatikane...
0 Reactions
3 Replies
344 Views
Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa...
12 Reactions
26 Replies
1K Views
Copy hii code kisha ishi nayo.
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Wakuu naangalia wajasiliamali mitandaoni wakiuza Bidhaa hizi najaribu kuwaza. Nimeona camera zimefichwa kwenye charger, saa za ukutani, Peni, miwani, socket, vifungo, bulb, hanger, bawabu etc...
1 Reactions
20 Replies
659 Views
Marufuku imekuwa ikipigwa na madhehebu ya walokole , hasa kwa wanawake ambao wanapo okoka wanakuwa tayari wana watoto lakini hawana ndoa ama kwa kifupi wamezaa kabla ya ndoa. HOJA ZA WANAOPINGA...
5 Reactions
8 Replies
650 Views
Wajuvi wa mambo wanasema kwamba hali ya nywele kusisimka unapopita mahali fulani usiku jua kuwa hio sehemu sio nzuri huenda kukawa na washirikina mahali po au majini Je? wewe ushawahi kuhisi...
6 Reactions
21 Replies
961 Views
Pale unapokua na uhitaji wa kitu, au huduma Fulani we ndo Fulsa kwa Wengine. Ktk Maisha mambo ni mawili tu. Jambo Lenye kutoa pesa mfukoni mwako, na jambo Lenye kuingiza pesa ktk mfumo wako. Leo...
3 Reactions
9 Replies
448 Views
Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu...
29 Reactions
149 Replies
4K Views
Jana nliweka uzi kuhusiana na kiongozi wenu mmoja kunitega tega. Nipo huku Famagusta kuna watoto wakali. Cyprus mnaifahamu kuna kisiwa kinaitwa Famagusta. Hili jina limenikumbusha maskani ya wana...
1 Reactions
7 Replies
401 Views
Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000. Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Bukoba Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwake kwa Ibada Kuu ya Shukrani iliyoongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
1 Reactions
3 Replies
388 Views
“A famous man once said We create our own Demons” - Tony-stark (Iron man 3) Wasomi wenye uelewe wa juu jinsi akili ya mwanadamu inavyofanya kazi (psychologist) wanasema kua mambo yote ambayo...
43 Reactions
66 Replies
11K Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
8 Reactions
145 Replies
7K Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema kwamba waandishi wa habari wanao mchango mkubwa katika kuhakikisha usalama unakuwepo kipindi cha uchaguzi, ambapo amewahasa kuzingatia...
2 Reactions
6 Replies
416 Views
Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue...
5 Reactions
9 Replies
657 Views
Back
Top Bottom