Mambo ya kwenda burundi tukikuuliza kodi,tukifa unasema kifo ni kifo mpaka wale wanaotuambia sijui oktoba watatiki sawa si mnajua.
Kwa sasa NIDA yangu kama utalazimisha kuwa nilikuchagua thamani...
Ni takribani wiki mbili sasa nimekuwa na harakati katika eneo maarufu la Kwa Zena lililopo Mbezi Beach-Dar es salaam. Kuna jambo ambalo siwezi kulikalia kimya, licha ya kwamba mimi si mkazi wa...
Wizara ya Afya maazimio yenu ya mwanzo
1-Kupimisha DNA
2-Kumsimamisha kazi Nurse alochanganga Vitenge.
Haya yote yalilenga Suala la Mama kubadilishiwa mtoto.
Sasa moto ndio aliyekufa !!
Sasa...
Nimeangalia clip nusu nitukane
------------
Hii ni kinyume na kanuni na taratibu za uchaguzi, na kama sheria zimebadilka basi Tume huru ya uchaguzi NEC itoe ufafanuzi. La sivyo tutarajie kuona...
WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa...
Tangu nianze job, kuanzia benki, vikundi, dukani, na kwa wana.
Baada ya hapo nikahamia microfinance, huko kwa kuwa hakuna kipengele cha kuzingatia kuwa ibaki 1/3 ya mshahara, ndo najilipua muda...
Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono.
Yani kesho tu inachukua karne kufika.
Mwamba britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti.
Yani...
Nimekumbuka tu kibiti na Tanga alafu nikapata kuwaza mfano Nairob baada ya kujifunza kuwa na vitengo mbali mbali ambavyo kama kutakuwa na tukio mfano ugaidi,mabomu hatari,cyber attack,upelelezi wa...
Inasikitisha sana
Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.
Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa...
Wanafunzi wa Yesu waliotajwa kwa jina wengi wao walikuwa wanaume 12 maarufu kama mitume. Hata hivyo, Biblia pia inataja wanawake waliokuwa wanafunzi wa Yesu kwa namna ya kiroho na waliomfuata kwa...
Hakimu Hawa Magesa ametoa uamuzi kwenye Kesi Namba CC 32444/24 iliyokuwa ikimkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Dar es Salaam, aliyedaiwa kumlawiti Mwanafunzi...
Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango...
Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa"
Na...
Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini...
Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili
Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu
Ukiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.