Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya 1. Uoe au Kuolewa Kaskazi 2. Usome Kaskazini 3...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu zangu. Naomba niwe wa kwanza kuwatakieni wote heri ya Sikukuu ya Christmas na Heri ya mwaka mpaya 2022. Mungu wetu aendelee kuwalindeni nyote tuvuke Salama. Ni hivi, nikiamshwa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho. Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi...
28 Reactions
104 Replies
5K Views
"Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ ataingia katika Ufalme wa mbinguni, bali ni yule tu afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Siku ile wengi wataniambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutabiri...
15 Reactions
203 Replies
4K Views
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself? Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend...
35 Reactions
226 Replies
14K Views
Wana JF! Niliwahi kuota kama wiki mbili kabla ya mechi ya starz na ivorycoast kuwa matokeo yatakuwa 4-2 ila nikapuuzia na nikaja kushangaa sana mechi ilipochezwa na matokeo yakawa hivyo. Siku...
2 Reactions
76 Replies
11K Views
Kwa Mrombo ni sehemu maarufu sana kwa uchomaji wa Nyama ya Mbuzi,wengi wakisema Nyama inayouzwa sio ya mbuzi bali ni ya kondoo. Leo nimefanya utafiti na kugundua kweli Asilimia 90% ya nyama...
9 Reactions
159 Replies
41K Views
Tafadhal,naomba msaada wa kiufundi,nahtaji kuweka dali kwenye kijumba changu,nitumie nini kati ya hvyo hapo juu?
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Hivi hawa wenzetu wanapofiwa hayo machozi yao ni ya kweli au ya kitapeli, Inawezekanaje mtu aliyefiwa na Mwandani wake juzi tu kusimama Jukwaani huku akibwabwaja kwa bashasha namna ile? Au Kifo...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari wanaJf Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa... Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa...
15 Reactions
300 Replies
8K Views
Hivi what if mtu ukifa unazaliwa tena kiumbe kingine, mfano unazaliwa ng’ombe? Incase ni hivyo, si ingependeza kama kabla ya kuchinjwa upigwe kwanza nusu kaputi, au nakosea?
10 Reactions
70 Replies
6K Views
Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina asifike ofisi za tume kwa...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
2 Reactions
2 Replies
393 Views
KATIBU MKUU BAKWATA ATEUA KAMATI KUANDAA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA YA UONGOZI MAKINI NA IMARA WA MHES MUFTI........... Mh. Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Alhaj...
2 Reactions
3 Replies
400 Views
Naam madereva tuliishi kama ndugu, tulikuwa na umoja na Upendo wa kweli tuliishi kifamilia zaidi...Mkurugenzi/ mmiliki kila weekend kama tumerudi (Kwa sababu kampuni yetu tulikuwa tunapakia pamoja...
33 Reactions
73 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku...
1 Reactions
4 Replies
474 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania leo inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, hatua ambayo inaweza kubadili mwelekeo wa uchaguzi mkuu wa...
1 Reactions
12 Replies
884 Views
Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya...
34 Reactions
71 Replies
5K Views
Back
Top Bottom