Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea. Hakika nyuma yake...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea? Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option...
7 Reactions
10 Replies
486 Views
Wakuu, Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii. Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa. Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
20 Reactions
142 Replies
6K Views
Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa...
1 Reactions
6 Replies
617 Views
Eti mwananzengo mwezangu ile helikopta ikiwa na mabango ya chama uliiona? Mbona kama imechukuliwa kutoka kwa akina fulani
1 Reactions
7 Replies
593 Views
Ufugaji wa mbuni (Ostrich farming) ni aina ya kilimo cha kisasa kinachokuwa kwa kasi katika maeneo mengi duniani, ikiwa ni pamoja na baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, na...
4 Reactions
5 Replies
942 Views
Kiukweli nimekufa moyo. Iko hivi ata kama una rafiki yako hamjaonana miaka buku usiombe picha yake iyo ni laana,unaomba picha eti umuone tu asa inakusahidia nini. Kama mtu hajataka kuposti picha...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Jinsi ya Kuthibitisha Kwamba Biblia ni ya Kweli | John MacArthur Kuna sababu kuu nne zinazotufanya tuamini kwamba Biblia ni ya kweli: sayansi, historia, unabii ulio timia, na ushuhuda wa mitume...
1 Reactions
3 Replies
342 Views
Gari aina ya Alphard lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Kituo chetu cha 7 Media limepata ajali mkoani Morogoro, wakitokea Kigoma kwenye mapokezi ya mgombea ubunge wa Jimbo hilo, Clayton...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status? Kwani...
18 Reactions
82 Replies
3K Views
  • Closed
Maombolezo yataanza hivi punde au mwezi wa 9 mwanzoni...kadiri watakavyo pendezwa.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Tatizo la graduates wengi wa Tanzania,vyuoni walienda kusoma wafaulu wapate GPA za juu ili ziwasaidie kuajiriwa. Hawakwenda vyuoni kusoma ili wapate maarifa yatakayo wasaidia kutatua changamoto...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Msidanganyike na hivi vishekeli vya sasa! Huu ndio msimu wake, upatipa haraka! Uchafuzi shekeli humwaga kila kona! Kibubu hutobolewa kabisa ili kupunguza kelele Huu ni wakati wa ulaji.. Ni...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi. Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi...
6 Reactions
11 Replies
525 Views
Imekuwa ni kawaida ya hawa My x by Yas customer service kuwa wazimbe na wasiofatilia shida za wateja wao . Nimefanya malipo kwa njia ya bank post paid lakini mpaka leo lain yang haifanyi kazi , na...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_ 1:SIGARA Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti...
2 Reactions
2 Replies
495 Views
Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Kila mara tunasikia taarifa za ukamataji mkubwa, operesheni nzito na kampeni za kupambana na dawa za kulevya… lakini mitaani mtandao wake unazidi kuenea. Je, tatizo ni udhaifu wa mifumo ya...
4 Reactions
29 Replies
898 Views
niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias Sehemu ya kubadili finra na mawazo Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa...
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa...
2 Reactions
6 Replies
756 Views
Back
Top Bottom