Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya...
Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote...
Isa 53:7 SUV
[7] Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam...
Wakuu huwa napandwa na hasira Kali mtu akiwa anarudia rudia neno 'mtu na dada yake'. Jana Kuna mtu mmoja nilimrukia na kumgaragaza kama chui jamaa mmoja aliyekuwa anarudia maneno haya katika Kila...
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa...
Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.
Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa...
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanawake sasa wanamiliki akaunti nyingi zaidi za mikopo ya kidijitali kuliko wanaume, hatua inayowaweka kileleni kama wakopaji wakuu katika sekta ya fintech...
Shalom, Karibu katika Neno la Mungu, na moja kwa moja tusome maandiko katika Yeremia 8
8 Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya...
Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa...
PROPAGANDA ZA UCHAWI NA USHIRIKINA.
Na, Robert Heriel
Je, uliwahi kuuona uchawi kwa macho?
Je, uliwahi kupatwa na uchawi? Ulijuaje huo ni uchawi?
Je, uliwahi kumuona ndugu yako au jirani...
Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, wajawazito wanadaiwa kulipia kadi za kliniki Shilingi elfu 2, hii si sawa kwa sababu huduma za mama na mtoto ni bure kwa mujibu wa sera ya Afya!
Mganga Mkuu wa...
1. Paulo, aliyefahamika awali kama Sauli, alikuwa Farisayo aliyejitoa kuwaudhi Wakristo wa kwanza. Alishiriki moja kwa moja katika kuuawa kwa Stefano na alikuwa na chuki kubwa dhidi ya jina la...
Wakati Jeshi la Polisi nchini likitangaza msamaha wa miezi mwili wa kutoshtakiwa kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume, imebainika kuwa misamaha hiyo imekuwa ikitolewa mara kwa mara kiasi cha...
Imagine kila unachokifanya hakiendi, tumia akili to the maximum, piga kazi sana lakini wapi....
We dunia kwani umechagua watu wa kufurahia maisha?
Dunia ulaaniwe kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.